FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Tunachofahamu simba iko makundi hayo mengine ni yako
Kuna ambaye amesema haipo? ... ila kuna ambaye anakataa au kuumia kusikia kwamba Simba kilichomfikisha group ni kanuni, hajashinda mechi yoyote ile, si kwake wala ugenini. [emoji23]

The so called expert of international games, what has gone wrong nowadays? [emoji38]
 
Kuna mwamba mmoja alikua anaangalizia kadimama anachunguliaa na nafasi za kukaa zilikua kibaoo😁😁😁😁😂!
We acha tu huwa nakua na ushabiki ambao siuchukuliagi silius ila leo baada ya kupigwa goli,huku nikiangalia mtani Kalinga makundi automatically nikajiona kama mtu nilieletewa Habari ya msiba so sad indeed,kama ni makesa ya kocha aambiwe aisee na kama kuna pahala hapapo Sawa kwa namna yoyote ile uongozi uchukue hatua za haraka mana matokeo yangebaki kabla ya sisi kusawazisha nakuhakikishia kuna baadhi yetu wangeaga Dunia.
 
Heshimu kanuni zilizowekwa ,hata FA mechi ya fainali kutokuwa na extra time na kuingia matuta baada ya mechi ikiisha sare ni kanuni..hiyo kanuni ya away goal si wangeshinda nyingi zaidi hapa kama wanao uwezo,timu zote zinatumia hizo kanuni ukiotewa we ndo kibonde
 
Hoja yako nin hapa kamanda
 
Sio wewe tu mkuu Nadhani ule muda karibia mashabiki walio wengi wa mnyama mlikua tumbo jotroo 😂😂!
Hongereni tena na tenaaaa trend yenu ya kuingia makundi japo hii ndohivo inaendelea kuwa gadooo🤠🤠 !
 
Hoja yako nin hapa kamanda
Excellent.

Hoja ni kwamba mmojawapo ameshindwa kupata ushindi kwenye mechi yoyote ile, ila kaingia makundi kwasababu ya the so called 'kanuni' .... alafu kuna mwingine kashinda home and away, naye kaingia makundi.

Mmoja kanuni ndo' zimembeba kwa maana uwanjani hakukuwa na any spotted difference, hamna aliyeshinda wala aliyeshindwa... ni kanuni za ujima tu ... kanuni ambazo ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa ...alafu sasa kuna mwingine ambaye kafuzu kwa kuonyesha uwezo wake nyumbani na ugenini ... hamna aliposhindwa mchezo wowote ule ... alafu ubaya zaidi huyo aloshinda ni yule aloonekana ni 'hamna lolote' kwenye international games ... sasa what went wrong kwa huyu mtaalamu wetu mkufunzi kiasi cha ku-rely on written rules apart from what is seen on the field?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…