SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Kama lini Yanga kabebwa na kanuni? ... wanaume wanapambana uwanjani na sio kwenye meza ya karani.Huyo kachanganyikiwa haamini macho yake...anashangaa kanuni wakati ndo kwanza mambo yameanza asije akashangaa akabebwa na kanuni na yy huku akimshukuru Mungu....hahahahha
😂😂😂Nipe sanduku la posta s.l.p ......
Hizo mlizi print wenyeweMka print na kanga za kutupiga majungu
Ukitimiza malengo yako umecheza vizuri. Acha ushamba nduguKocha wa simba nilimuona hamnazp aliposhangilia ule mchezo simba ya nyanga Tanga.
Kama mtaalam angezema licha ya kushinda tumecheza vubaya tutaboresha zaidi. YEYE ANASHANGILIA KAMA. MSHABIKI HAHAHAH
Utakufa kwa presha stivu akeeeee...Kama lini Yanga kabebwa na kanuni? ... wanaume wanapambana uwanjani na sio kwenye meza ya karani.
Utasubiri sana Dua la kuku hiloWakiongezwa lingine kazi inaishia hapo.
Kua mpinzani sio dhambiLugha imebadilika
Mkuu unataka kusema FIFA NA CAF ni wajinga hadi waweke video hivyo?Excellent.
Hoja ni kwamba mmojawapo ameshindwa kupata ushindi kwenye mechi yoyote ile, ila kaingia makundi kwasababu ya the so called 'kanuni' .... alafu kuna mwingine kashinda home and away, naye kaingia makundi.
Mmoja kanuni ndo' zimembeba kwa maana uwanjani hakukuwa na any spotted difference, hamna aliyeshinda wala aliyeshindwa... ni kanuni za ujima tu ... kanuni ambazo ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa ...alafu sasa kuna mwingine ambaye kafuzu kwa kuonyesha uwezo wake nyumbani na ugenini ... hamna aliposhindwa mchezo wowote ule ... alafu ubaya zaidi huyo aloshinda ni yule aloonekana ni 'hamna lolote' kwenye international games ... sasa what went wrong kwa huyu mtaalamu wetu mkufunzi kiasi cha ku-rely on written rules apart from what is seen on the field?
Hongereni mmepita ila raha hamnaUpo jirani...yani ukishaona comment ya kalpana inakwambia tukutane jioni baada ya mechi jua tuu mnyama anakula mtu...kivyovyote vile
una wivu na chuki sio bureKama lini Yanga kabebwa na kanuni? ... wanaume wanapambana uwanjani na sio kwenye meza ya karani.
hujui uchambuzi wew utopoloHawa Makolo ndio wanatuambia watamtoa Al Ahly kwenye super League? Hamko serious
Umeshachoma?Hili goli halirudi na likirudi nachoma kilinge na tunguli zake zote.
Sio makundi tu, hata Ngao ya Jamii sikushinda hata mechi moja lakini TFF ya Karia ikanipa Ngao. Tena huko ndio kulikuwa na upendeleo balaa, maana hata goli sikupata lolote, ila nikapendelewa ushindi. TFF na CAF wachunguzwe, huenda kuna rushwa wanapewa na mnyamaUkiulizwa umefika makundi umeshinda mechi ipi, una jibu? Au utaanza insha ya maneno mia na ishirini?
Labda ni upeo mdogo wa uelewa wako kuhusu kanuni. Kwa ufupi ni kwamba aliyepata aggregate ya ushindi wa mabao 3-0 tena nyumbani na ugenini, naye pia anaingia katika hatua ya makundi kwa mujibu wa kanuniHoja ni kwamba mmojawapo ameshindwa kupata ushindi kwenye mechi yoyote ile, ila kaingia makundi kwasababu ya the so called 'kanuni' .... alafu kuna mwingine kashinda home and away, naye kaingia makundi.
Au hata 5-0 kama alivyoifunga YangaSimba imeingia makundi kinyonge sana.Nilitegemea ushindi wa goli 3.