kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Power Dynamo saa hizi wanahitaji msaada wenu...Uto mko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wanapitaGame ikiisha moja moja simba amepita?
huku Man Utd huku Simba Sports🥶🥶
Huna akili wewe kwani wametoka 2:2?? Au hujui Matokeo ya awaliExtra time afu ndo matuta
Ndivyo inavyotakiwa.dakika bado nyingi.Ila unaweza kushangaa wakawa wameridhika.Bado sina imani, tunahitaji magoli zaidi.
Kivipi mkuu!??Tff iache kuzipa hizi timu likizo zikisubiria mechi. Waache walalamike. Tunajielewa sie Tanzania
Kwenye hili tuko pamojaManchester wanautesa moyo wangu aiseee
Kwanini isiwe 5-4 kwa sababu power na yeye kapata goal moja hukuMagoli ya ugeni yahesabiwa 2 Kila goli hivyo ikimalzika hivi itakuwa ni 5-3.
Simba inaenda kwa nguvu ya Mungu hali mbaya mpira hakuna.Kikwazo nini mnaoangalia huko kutopatikana la pili na la tatu mpaka sasa[emoji35][emoji35][emoji35]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
NdioGame ikiisha moja moja simba amepita?
Simba anaenda mbele, droo nyingine yoyote tofauti na hii ya sasa (1-1), itakuwa ni disadvantage kwa Simba Sc.Wakitoka 1-1 wanapiga matuta ama?
Washukuru Mungu.Mnabahati wamejifunga
Aisee bora uzi umechangamka kidogohuku Man Utd huku Simba Sports[emoji3063][emoji3063]
Kumbe mods ni simba.....nawaombea baya liwakute hapo azam😁Bageshi tayari huku mods wamesharekebisha mitambo baada ya Simba kusawazisha 😁😁😁
View attachment 2768646