Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au hapa tunaongelea Uefa?Sawa,
Mashindano ya shirikisho la CAF.
Pole yakeSingida keshapigwa kimoja
Mkuu timu nzima inacheza hovyo kocha hatuna sio uchawi wala nnItabidi nianzishe mada…
Tatizo si Robertnho..
anaweza kuwa na Tatizo ila Tatizo kubwa ni Ndani ya wachezaji hasa wazawa kulogana..
Tulishalizungumza hili..
na wanafahamika mbona!
Kazi yao ni Kulogawachazji wageni ingawa hata wao hawafanyi vema…
Thimba Tatizo wanaamini ktk Kuloga.
Wenzao Yanga Uchawi upo, lakini ni nje ya uwanja…
Hakuna Mchezaji anaemloga mwenzie!
Thinba wanaologa mpaka wanalindwa na Uongozi![emoji30]
Nyie malengo yenu tayari mshayafikia, ulizia kwa viongozi wako wakujuze ukomo wa kusherekea makundi ni lini.Mkuu,atakayevuka robo ndo mwanaume,
Hujawahi vuka robo
Sio mawazo potofu wale jamaa wana roho mbaya sana.Mawazo potofu, mpira ni mchezo wa hadharani, huna timu.
Al Ahaly watawaonesha dhahiri panavuja.
UsijisahaulisheNyie malengo yenu tayari mshayafikia, ulizia kwa viongozi wako wakujuze ukomo wa kusherekea makundi ni lini.
Msije mkapishana
Huyo namba niliwaambia mlipaswa kumjaribu kwa mkataba wa mwaka mmoja mkajifanya kushupaza shingo.Wachezaji wa kutema
1.Ayoub.
2. Kanute
3. Phili.
4. Onana.
5. Miquisson.
6. Aubin Kramo.
Kwa Simba hii huko Makundi tutakuwa kama Mecco ya Mbeya
Mkuu atakayevuka robo kati yetu ndo kidume hapa TanzaniaSisi Simba tushazoea kutinga kwenye hii hatua, ngoja tuwaelekeze hawa walioingia kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25, kule hakuna vibonde
Babu nenda kawasaidie ndunguzo wale wa Singida Dodoma kuwafungulia uzi kwa mechi yao.Kwahyo bila kujifunga hii mechi ndo ilikuwa mpaka msimu ujao
Mkuu robo utavuka kweli?Simba hatafuti makundi, makundi yanamtafuta Simba
NakaziaSimba hatafuti makundi, makundi yanamtafuta Simba
Unajua huko makundi ni sawa na jiji kubwa, mwenyeji hana tabu.Ila simba inahuzunisha sana! Yaani inafuzu hatua ya makundi kwa msaada wa goli la kujifunga! Hivi huko makundi kwenyewe si itaenda kushika mkia kwa aina hii ya mpira!!