FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Goli la ugenini lipo huku akhera tu, huko Duniani wenzetu walishalisahau.
Kiufupi, ni kwambinde sana.
 
Itabidi nianzishe mada…
Tatizo si Robertnho..
anaweza kuwa na Tatizo ila Tatizo kubwa ni Ndani ya wachezaji hasa wazawa kulogana..
Tulishalizungumza hili..
na wanafahamika mbona!
Kazi yao ni Kulogawachazji wageni ingawa hata wao hawafanyi vema…
Thimba Tatizo wanaamini ktk Kuloga.
Wenzao Yanga Uchawi upo, lakini ni nje ya uwanja…
Hakuna Mchezaji anaemloga mwenzie!
Thinba wanaologa mpaka wanalindwa na Uongozi![emoji30]
Mkuu timu nzima inacheza hovyo kocha hatuna sio uchawi wala nn
 
Nyie malengo yenu tayari mshayafikia, ulizia kwa viongozi wako wakujuze ukomo wa kusherekea makundi ni lini.

Msije mkapishana
Usijisahaulishe

Atakayevuka robo ndo kidume hapa Tanzania
 
Wachezaji wa kutema
1.Ayoub.
2. Kanute
3. Phili.
4. Onana.
5. Miquisson.
6. Aubin Kramo.
Huyo namba niliwaambia mlipaswa kumjaribu kwa mkataba wa mwaka mmoja mkajifanya kushupaza shingo.

Sasa mvunjieni mkataba mumlipe manoti Kibao bila sababu kwa ulafi wa ten percent.
 
Sisi Simba tushazoea kutinga kwenye hii hatua, ngoja tuwaelekeze hawa walioingia kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25, kule hakuna vibonde
Mkuu atakayevuka robo kati yetu ndo kidume hapa Tanzania
 
Ila simba inahuzunisha sana! Yaani inafuzu hatua ya makundi kwa msaada wa goli la kujifunga! Hivi huko makundi kwenyewe si itaenda kushika mkia kwa aina hii ya mpira!!
Unajua huko makundi ni sawa na jiji kubwa, mwenyeji hana tabu.

Wa kupaogopa ni wale ambao babu zao ndo walienda miaka 25 iliyopita ila wenyewe wanapasikia sikia tu na sasa ndo wameshushwa stendi.
 
Back
Top Bottom