FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Tuaibike kivipi ofsa?

Ebu niambie ni mechi ngapi ambazo Simba amecheza na amekua akiambiwa hachezi vizuri na wakimtabiria kufeli kwenye mechi zijazo?

Na kati ya hizo mechi, moja tumecheza naye huyo ambaye yeye anajigamba anacheza vizuri.

Matokeo ya mwisho yalikuwaje?

Anayecheza vizuri alikuwa na on target moja sawa na asiyecheza vizuri.

Kwenye matuta, kapasuka. Kafungwa na asiyecheza vizuri.

So mtastuka tumechukua kombe na bado mko na kauli hizo hizo kama mlivyokuwa mnajifariji baada ya kuwavua ubingwa wa ngao.
Tulia wewe punguza maneno
 
MO tapeli
20231001_181846.jpg
 
Singida wanaitaka group stage na kwa nature ya shirikisho kama watapita hapa wanaweza kufika mbali
 
Wewe TEAM yako yenye uwezo mara ya mwisho kufunga Simba lini?
Unafahamu maana ya context? Tunaongelea CAF, wewe unaleta mambo ya NBC unaposhinda kwa ndondokela.

Team yangu mara ya mwisho imeshinda home and away kuingia makundi. Yako vipi? Imeshnda hata game moja? [emoji2] ukijibu nakufa hapa..
 
Wazee wa draw hao
 
Ulimfikiaje huo mpira mpaka apige golini kwake
Wanaangalia ulivyomfikia au wanaangalia aliyeingiza? mbona kwenye goli hawaaandika mfikishaji bali aloingiza goli? .. na ubaya hata mfikishaji mbona hajaekwa kwenye assist?
 
Utopolo acheni Wivu..!
Kwani hizi Kanuni ni mpya ee?

Watu ndo Washatinga Makundi CAF CL..!

Hivi tunavyoongea Wanaenda Kujiandaa na AFRICAN FOOTBALL LEAGUE....!
 
Back
Top Bottom