SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Ukiulizwa umefika makundi umeshinda mechi ipi, una jibu? Au utaanza insha ya maneno mia na ishirini?Hivi hatujui kuwa aliyeshinda aggregate ya mabao 7-0 anapitishwa na kanuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiulizwa umefika makundi umeshinda mechi ipi, una jibu? Au utaanza insha ya maneno mia na ishirini?Hivi hatujui kuwa aliyeshinda aggregate ya mabao 7-0 anapitishwa na kanuni?
Tulia wewe punguza manenoTuaibike kivipi ofsa?
Ebu niambie ni mechi ngapi ambazo Simba amecheza na amekua akiambiwa hachezi vizuri na wakimtabiria kufeli kwenye mechi zijazo?
Na kati ya hizo mechi, moja tumecheza naye huyo ambaye yeye anajigamba anacheza vizuri.
Matokeo ya mwisho yalikuwaje?
Anayecheza vizuri alikuwa na on target moja sawa na asiyecheza vizuri.
Kwenye matuta, kapasuka. Kafungwa na asiyecheza vizuri.
So mtastuka tumechukua kombe na bado mko na kauli hizo hizo kama mlivyokuwa mnajifariji baada ya kuwavua ubingwa wa ngao.
All the best kwakeHapa hapa tunaendelea na game ya singida moja moja
Hivi kibonge mikisoni yupo ??
Na anaupiga mwingi mnooKapata la ugenini,vizuri sana
SanaaaSingida wamotooo
Miye mishawaambia kuanzia Leo atakayevuka robo kati yetu ndo kidumeUkiulizwa umefika makundi umeshinda mechi ipi, una jibu? Au utaanza insha ya maneno mia na ishirini?
Mnoo kuliko hata wa Simba!?Na anaupiga mwingi mnoo
Simba anaingiaje hapa mkuuMnoo kuliko hata wa Simba!?
Na watafika mbali sana timu nyingi huko nje viwango zeroSingida wanaitaka group stage na kwa nature ya shirikisho kama watapita hapa wanaweza kufika mbali
AahaaaaaaSimba anaingiaje hapa mkuu
Yeye kupiga mpira golini kwao.
Unafahamu maana ya context? Tunaongelea CAF, wewe unaleta mambo ya NBC unaposhinda kwa ndondokela.Wewe TEAM yako yenye uwezo mara ya mwisho kufunga Simba lini?
Wazee wa draw haoUnafahamu maana ya context? Tunaongelea CAF, wewe unaleta mambo ya NBC unaposhinda kwa ndondokela.
Team yangu mara ya mwisho imeshinda home and away kuingia makundi. Yako vipi? Imeshnda hata game moja? [emoji2] ukijibu nakufa hapa..
Wanaangalia ulivyomfikia au wanaangalia aliyeingiza? mbona kwenye goli hawaaandika mfikishaji bali aloingiza goli? .. na ubaya hata mfikishaji mbona hajaekwa kwenye assist?Ulimfikiaje huo mpira mpaka apige golini kwake