FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

60'
Wydad wanapiga freekick lakini unagonga ukuta na kufanya Mamelody wawe salama
 
Pasi 307 dhidi ya pasi 222.

Mwenye pasi 307 ni mgeni, lakini pia yupo pungufu.

Hii imekaaje?
 
Mamaelody hanaga cha egenini wala nyumbani popote yeye anaupiga kama yupo home,na uo ndo mpira wa Ulaya ulivyo,Madrid kadraw kwao anaenda kimpasua Man city kulekule kwenye kaburi la Bibi Elizabeth.
 
64'
Wydad wanafanya shambulizi hapa lakini mlimda mlango anaokoa hatari
 
Commentetor hawezi kuonekana wa maana bila kuitaja Simba
 
67'
Wydad wanafanya mabadiliko tena
 
Dakika ya 72' game ni bila bila

Wydad wanafanya sub ya tatu huku Mamelody hajaonekana kufanya sub yeyote
 
Wale waliokuwa wanamshangaa Robertinho kwa tabia yake ya kuchelewa kufanya sub.

Angaliemi hii dakika ya 75 hakuna sub iliyofanyika.

Na hapo ilitegemewa pengine ndio angekuwa wakwanza kufanya sub kwasababu game plan yake ishakuwa ruined kwa kupungukiwa na mchezaji mmoja.

Lakini mpaka dakika hii Wydad kafanya sub nne huku Mamelody wakiwa vile vile kama walivyoingia.

Kalpana
 
Naona Mamelod wanawachezaji wengi kutoka Amerika ya Kusini.
 
Dakika ya 77' Mamelody wanafanya mabadiliko ya kwanza.

Anaingia Allende anatoka Zwane

Kumbuka wote hao ni midfielders yani bado kocha hajafikiria kufanya sub ya beki kwasababu wako pungufu.

Amezidi kuimarisha eneo la katikati aendelee kumiliki zaidi mpira.

Wakati huo Wydad wamefanya sub nne mpaka muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…