Tangu Simba wapige mpira mkubwa pale Mohammed V, ulisababisha Wydad wahatibike kisaikolojia.
Saizi game yeyote wanayocheza kwao wamekuwa ni timu ambayo inazidiwa sana kwenye maeneo mengi.
Mamelody anastahili kabisa kuchukua hili kombe, ana kila sababu. Huyo Al Ahly angekuwa kwenye situation ya leo sidhani kama angecheza vizuri kama Mamelody.