FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya
Mbona DRC pia kuna vita lakini TP mazembe wapo vizuri? Ukiwa makolo hata akili inakuwa haipo Sawa ๐Ÿค”
 
Kila la kheri Young Africans
 
Tanzania kuna amani tele ila mbona Simba aligongwa 5 mkuu?
 
Katika ligi ya Tanzani kwasasa nadhani Pacome ndiye mchezaji mwenye akili nyongi sana ya mpira.
 
Dakika ya 35 vital hawajakanyaga hata nusu ya uwanja.....๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wanachezeshwa kwao tu
Huku kwenye Live Score kunaonyesha Vital'O wapo pungufu tangu dakika ya 14 (red card), ni kweli?
 
Yaani utadhani naangalia mpiara wa chandimu wa watoto shule ya msingi.wakizidiwa tu speed ama wakiona hatari wanakupush mpaka nachoka.
Very unprofessional
Mwamba aliechukua nafasi ya goal keeper kanifurahisha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ