FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Mnajifariji ivyo ivyo wakati wenzenu wanazidi kupanda chati mkija kushtuka washawashusha. Kuishia kucheza robo fainali sio mafanikio ya kuwafanya mbweteke kiasi hicho
 
Kazi ya ticket [emoji612] imemalizika sasa.

Mashabiki wameitika.

 
Wewe jamaa Swindon unalia kwenye magroup umebetia hela ya ada
Duh nakupa pole sana .
Angalia ID yangu alafu kahakiki hiko usemacho nimetoka shule zamani sana .

Niko na cheque namba nakula hela yenu ya kodi kitambo .

Sema nini mshahara wenyewe ushaisha nimenywea pombe rafiki , vipi unataka kunisapoti nini ?

Njoo nikuuzie mkweche wangu kuna IST naifukuzia hapo mjini kati .

Anyway hivi Yanga ni timu yako aisee sijui kama mnatoboa .

Hivi wewe ni Frank ?

Nisamehe bure jua kali sana hapa Mbeya hivyo akili iko less
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…