Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Kila lakheri timu ya Wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajiona wenyeweKwani uongo pora gamond ndio habari ya mjini sio lile matege lenu mitege kma banio[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Namtoa mwikoNyuma ya Al mareck unafanya nini?
Kukulana ni jambo la kibaiolojia,Sishangai Jioni tukikutana na connection mashabiki wa Uto wanakulana
Wewe jamaa Swindon unalia kwenye magroup umebetia hela ya adaLiwakute lolote maana siku hizi mnajiona wenyewe ndiyo wenye mpira nchi hii.
Nenda Al_Mereck sisi tuko nyuma yenu
Mnajifariji ivyo ivyo wakati wenzenu wanazidi kupanda chati mkija kushtuka washawashusha. Kuishia kucheza robo fainali sio mafanikio ya kuwafanya mbweteke kiasi hicho1. Simba Ameisha toka huko kwa WATOTO
2. Simba anawaza Mashindano makubwa kama super Cup
3. Simba amelamba BILIONI 5 super cup. (Super league)
4. Uwanja WA Mkapa unakarabatiwa kwaajili ya super League.
5. Africa inajiandaa kupokea ugeni MZITO kutoka Duniani.
RAIS WA Fifa na Mashirikisho yake.
KILA LAKHERI MNYAMA MKALI.
Ndo huyo amepigwa laki 6kumekucha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani uwanja wa Azam unabeba mashabiki wangapi?
kumbe nawewe umeliona hilo , mimi pia naona utopolo tuna ngekewa sana na chamanzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipo Ndugu yangu, nimekuwa mpenzi wa soka sasa...
anyway Hiyo ya Uto kupigwa naiona sio rahisi hata kidogo.
Pale Chamazi wanabahati napo sana.
baada ya kumpiga EL 4 - 0Kama kawaida yetu Timu ya Wananchi tunaenda kusonga mbele kikabe.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Tatizo la kuwashwa hili...Vichupi day sio? Utopolo wenye akili wachache.
Anyway kila la heri kwa Yanga, Tanzania kwanza!!!
Duh nakupa pole sana .Wewe jamaa Swindon unalia kwenye magroup umebetia hela ya ada
Duh haki ya nani ?Ndo huyo amepigwa laki 6View attachment 2767315