Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani leo tusiwafiche tuwachane ukweliUchezaji wa Leo nadhani ndio uchezaji wa hovyo kabisa kwenye history ya team
Nilisaini mkataba na Yanga lakini hauna inshu!
Kweli hatuna furaha, yanga sio ya kupiga kigoli kimoja kama wana ndoa.😔Full Time.
Uto hawana furaha
Humu tuu.!! 😂😂SITAKI
Hata nyuso zao zinaongea nadhani huko vyumbani wataambiana kitu kibaya zaidi ni game 2 kuipeleka tena Zanzibar ambapo uwanja ni kama huu huu wa Bikilayani leo tusiwafiche tuwachane ukweli
Mambo ya kusema oh sijui game imetukataa hapana leo hakuna cha mashujaa mmepambana sijui nn hakuna!
Nikajua ccm wote ni yanga🤣🤣🤣Yanga na CBE ni tako na chupi .Wametoa smg wameingiza gobole
Timuuu ipoooCBE 0 Yanga 3
Hatupaswi kulaum coz mda wa maandalizi ulikua mchache, leo karibu wachezaji walokua team za taifa hawakua fit kabisa.yani leo tusiwafiche tuwachane ukweli
Mambo ya kusema oh sijui game imetukataa hapana leo hakuna cha mashujaa mmepambana sijui nn hakuna!
Niwe mkweli itanichukua mda kumuelewa bocca uchezaji wake ni kama tunalazimishwa kuukubaliHovyo. Akina Boka kazi kujipodoa tu
Mkuu mbona backline yote imecheza vizuri kabisa viungo vizuri kabisa shida ikabaki kumalizia je Hilo Lina uhusiano gani na fitnessHatupaswi kulaum coz mda wa maandalizi ulikua mchache, leo karibu wachezaji walokua team za taifa hawakua fit kabisa.
Mkuu mbona backline yote imecheza vizuri kabisa viungo vizuri kabisa shida ikabaki kumalizia je Hilo Lina uhusiano gani na fitness
Lakini pia mechi na kagera tulicheza hivi hivi
Matokeo ya timu kuipa matarajio makubwa kuliko inavostahili ndiyo haya!! Overated!Full Time.
Uto hawana furaha
Shemela, hapa reference ni ndoa yako yenye miaka minne hadi sasa?Kweli hatuna furaha, yanga sio ya kupiga kigoli kimoja kama wana ndoa.😔
Tumezoea 5
Backline na viungo utawaona wamecheza vzr coz hawakua na kashkash za kutosha, tatizo kubwa ni mda wa maandalizi mengine ni kujilisha upepo tu.Mkuu mbona backline yote imecheza vizuri kabisa viungo vizuri kabisa shida ikabaki kumalizia je Hilo Lina uhusiano gani na fitness
Lakini pia mechi na kagera tulicheza hivi hivi