FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

yani leo tusiwafiche tuwachane ukweli
Mambo ya kusema oh sijui game imetukataa hapana leo hakuna cha mashujaa mmepambana sijui nn hakuna!
Hata nyuso zao zinaongea nadhani huko vyumbani wataambiana kitu kibaya zaidi ni game 2 kuipeleka tena Zanzibar ambapo uwanja ni kama huu huu wa Bikila
Tujiandae na mechi nyingine mbayaaaa anyway tutasonga mbele
 
Hatupaswi kulaum coz mda wa maandalizi ulikua mchache, leo karibu wachezaji walokua team za taifa hawakua fit kabisa.
Mkuu mbona backline yote imecheza vizuri kabisa viungo vizuri kabisa shida ikabaki kumalizia je Hilo Lina uhusiano gani na fitness
Lakini pia mechi na kagera tulicheza hivi hivi
 
Mkuu mbona backline yote imecheza vizuri kabisa viungo vizuri kabisa shida ikabaki kumalizia je Hilo Lina uhusiano gani na fitness
Lakini pia mechi na kagera tulicheza hivi hivi
Backline na viungo utawaona wamecheza vzr coz hawakua na kashkash za kutosha, tatizo kubwa ni mda wa maandalizi mengine ni kujilisha upepo tu.
 
Back
Top Bottom