Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Pamoja na kwamba wewe ni Mzee wa hovyo, hapa umeongea kama Mzee wa busaraUsitukane basi sio jambo jema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kwamba wewe ni Mzee wa hovyo, hapa umeongea kama Mzee wa busaraUsitukane basi sio jambo jema.
Sema tena kolo..!! Nikuambia tunza hii.Kila lenye heri kwa Waethiopia, mshinde chuma tatu kwa nunge.
NB:
Zingatia jina la uwanja
Tunawasubiri wenzetu kikombe Cha chai keshoNikajua ccm wote ni yanga🤣🤣🤣
Sisi ni simba tunajenga timu ,mlipo tulishapita kitambo hicho😅😅😅😅Tunawasubiri wenzetu kikombe Cha chai kesho
Inatakiwa wakandwe coz wakishinda watatapika sana.Tunawasubiri wenzetu kikombe Cha chai kesho
Sitaki pressureHumu tuu.!! 😂😂
Njoo 💚💛 wewe
Washabiki wengi inaonyesha timu ni komavu.Kakudanganya nani kuwa na washabiki wengi ndio kucheza sana mpira?
Mkuu tusiwe watu wa kulaumu sio siku zote timu itashinda magoli mengi, wale ni binadamu sio maroboti ama malaika kwamba hawawezi kukosea. Kushinda away sio jambo rahisi hivyo kwa mpira wa Africa. Tujifunze kupunguza high expectations kama ushindi tu wa goli moja watu mnataka kuandamana kuwazonga wachezaji je siku ikitokea Yanga imefungwa sio mtachoma jengo la klabu? Mechi ya kwanza imeisha favour imeenda kwa Yanga japokuwa yupo ugenini ni wakati wa timu kujipanga kwa marudiano na hii ni hatua ya mtoano hivyo ni timu kujipanga kwa dakika 90 zingine za kufanya ifuzu haijalishi kwa magoli machache ama lahyani leo tusiwafiche tuwachane ukweli
Mambo ya kusema oh sijui game imetukataa hapana leo hakuna cha mashujaa mmepambana sijui nn hakuna!
Aisee madam upoo!!?Humu tuu.!! 😂😂
Njoo 💚💛 wewe
Nipo, natafuta pesa broAisee madam upoo!!?
Ulipotolea wapi?
Timu ya bank? Hao si kama TRA Kilimanjaro?Kuna wale wengine hadi half time ilikua moja moja.
Hawa ni digidigi wa dogo mno sema tu uto imeanza kupotea kwa mbali mno ,mpaka uwe na d mbili tu ndio utaelewa😅Timu ya bank? Hao si kama TRA Kilimanjaro?
Umenena vyema.Mkuu tusiwe watu wa kulaumu sio siku zote timu itashinda magoli mengi, wale ni binadamu sio maroboti ama malaika kwamba hawawezi kukosea. Kushinda away sio jambo rahisi hivyo kwa mpira wa Africa. Tusifunze kupunguza high expectations kama ushindi tu wa goli moja watu mnataka kuandamana kuwazonga wachezaji je siku ikitokea Yanga imefungwa sio mtachoma jengo la klabu? Mechi ya kwanza imeshinda favour imeenda kwa Yanga japokuwa yupo ugenini ni wakati wa timu kujipanga kwa marudiano na hii ni hatua ya mtoano hivyo ni timu kujipanga kwa dakika 90 zingine za kufanya ifuzu haijalishi kwa magoli machache ama lah
Niko poa kabisa madam,ila usitafute pesa kwa nguvu futa likakauka😃😃😃.Nipo, natafuta pesa bro
Uko pouwa? 😀
BInafsi nmegundua tupunguze matarajio.Mkuu tusiwe watu wa kulaumu sio siku zote timu itashinda magoli mengi, wale ni binadamu sio maroboti ama malaika kwamba hawawezi kukosea. Kushinda away sio jambo rahisi hivyo kwa mpira wa Africa. Tusifunze kupunguza high expectations kama ushindi tu wa goli moja watu mnataka kuandamana kuwazonga wachezaji je siku ikitokea Yanga imefungwa sio mtachoma jengo la klabu? Mechi ya kwanza imeshinda favour imeenda kwa Yanga japokuwa yupo ugenini ni wakati wa timu kujipanga kwa marudiano na hii ni hatua ya mtoano hivyo ni timu kujipanga kwa dakika 90 zingine za kufanya ifuzu haijalishi kwa magoli machache ama lah
Hata nyuso zao zinaongea nadhani huko vyumbani wataambiana kitu kibaya zaidi ni game 2 kuipeleka tena Zanzibar ambapo uwanja ni kama huu huu wa Bikila
Tujiandae na mechi nyingine mbayaaaa anyway tutasonga mbele
Details ndogo ndogo tu ndizo huwa zinafanya timu moja kushinda na nyingine kufungwa hasa timu zinapo karibiana kwa ubora. Wachezaji wadogo na hata wale ambao hawajapitia academy huwa hawazingatii hizo details. Tatizo huwa linakuwa kubwa zaidi kwa wachezaji wa kiafrika pengine kutokana na makuzi yao. Kwahiyo kwa hawa wachezaji waa kawaids coach na mashabiki wasipokuwa wakali kesho watarudia makosa. Kumbuka huo ndio mstari unao tenganisha timu za Kariakoo na Azam.Mkuu tusiwe watu wa kulaumu sio siku zote timu itashinda magoli mengi, wale ni binadamu sio maroboti ama malaika kwamba hawawezi kukosea. Kushinda away sio jambo rahisi hivyo kwa mpira wa Africa. Tusifunze kupunguza high expectations kama ushindi tu wa goli moja watu mnataka kuandamana kuwazonga wachezaji je siku ikitokea Yanga imefungwa sio mtachoma jengo la klabu? Mechi ya kwanza imeshinda favour imeenda kwa Yanga japokuwa yupo ugenini ni wakati wa timu kujipanga kwa marudiano na hii ni hatua ya mtoano hivyo ni timu kujipanga kwa dakika 90 zingine za kufanya ifuzu haijalishi kwa magoli machache ama lah
Ndio 😔Shemela, hapa reference ni ndoa yako yenye miaka minne hadi sasa?
Njoo uangalie nyumbani...