FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

yani leo tusiwafiche tuwachane ukweli
Mambo ya kusema oh sijui game imetukataa hapana leo hakuna cha mashujaa mmepambana sijui nn hakuna!
Mkuu tusiwe watu wa kulaumu sio siku zote timu itashinda magoli mengi, wale ni binadamu sio maroboti ama malaika kwamba hawawezi kukosea. Kushinda away sio jambo rahisi hivyo kwa mpira wa Africa. Tujifunze kupunguza high expectations kama ushindi tu wa goli moja watu mnataka kuandamana kuwazonga wachezaji je siku ikitokea Yanga imefungwa sio mtachoma jengo la klabu? Mechi ya kwanza imeisha favour imeenda kwa Yanga japokuwa yupo ugenini ni wakati wa timu kujipanga kwa marudiano na hii ni hatua ya mtoano hivyo ni timu kujipanga kwa dakika 90 zingine za kufanya ifuzu haijalishi kwa magoli machache ama lah
 
Mkuu tusiwe watu wa kulaumu sio siku zote timu itashinda magoli mengi, wale ni binadamu sio maroboti ama malaika kwamba hawawezi kukosea. Kushinda away sio jambo rahisi hivyo kwa mpira wa Africa. Tusifunze kupunguza high expectations kama ushindi tu wa goli moja watu mnataka kuandamana kuwazonga wachezaji je siku ikitokea Yanga imefungwa sio mtachoma jengo la klabu? Mechi ya kwanza imeshinda favour imeenda kwa Yanga japokuwa yupo ugenini ni wakati wa timu kujipanga kwa marudiano na hii ni hatua ya mtoano hivyo ni timu kujipanga kwa dakika 90 zingine za kufanya ifuzu haijalishi kwa magoli machache ama lah
Umenena vyema.
 
BInafsi nmegundua tupunguze matarajio.
Mana yote haya tumejipa matarajio sana
 
Mkuu tusiwe watu wa kulaumu sio siku zote timu itashinda magoli mengi, wale ni binadamu sio maroboti ama malaika kwamba hawawezi kukosea. Kushinda away sio jambo rahisi hivyo kwa mpira wa Africa. Tusifunze kupunguza high expectations kama ushindi tu wa goli moja watu mnataka kuandamana kuwazonga wachezaji je siku ikitokea Yanga imefungwa sio mtachoma jengo la klabu? Mechi ya kwanza imeshinda favour imeenda kwa Yanga japokuwa yupo ugenini ni wakati wa timu kujipanga kwa marudiano na hii ni hatua ya mtoano hivyo ni timu kujipanga kwa dakika 90 zingine za kufanya ifuzu haijalishi kwa magoli machache ama lah
Details ndogo ndogo tu ndizo huwa zinafanya timu moja kushinda na nyingine kufungwa hasa timu zinapo karibiana kwa ubora. Wachezaji wadogo na hata wale ambao hawajapitia academy huwa hawazingatii hizo details. Tatizo huwa linakuwa kubwa zaidi kwa wachezaji wa kiafrika pengine kutokana na makuzi yao. Kwahiyo kwa hawa wachezaji waa kawaids coach na mashabiki wasipokuwa wakali kesho watarudia makosa. Kumbuka huo ndio mstari unao tenganisha timu za Kariakoo na Azam.

Yanga mamekosa magoli mengi mno jambo linalo onesha kuna shida kubwa ya concentration. Viongozi wakumbuke hawa wachezaji siyo professional kama wale wa Ulaya, wanahitaji kuandaliwa zaidi kiakili ndipo wanafocus kwenye mchezo. Wiki nzima Yanga walikuwa wana attract attention mambo mengine tofauti na mchezo wa leo. Kumbuka msimu uliopita Yanga wamekosa kuingia semi finals kwa kutotumia nafasi; ligi ya nyumbani Simba wamekosa nafasi ya pili kwa tofauti ya magoli.
 
Back
Top Bottom