FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

Chelsea wakiwa na game approach nzuri kama walivyofanya Bayern(japo baadae walitoka kwenye mkakati wao) wanaweza wakatoa ushindani wa hali ya juu sana pengine hata kushinda.
Kama Caicedo hatakuwepo Chelsea wajiandae kwa milio ya kutosha.

Binafsi nina shauku ya kuona Chelsea watakuja na mbinu gani dhidi ya hii PSG ambayo ipo kwenye fomu vibaya mno
Ni balaa sana PSG can fight from all angles.
Ninachoamini Chelsea watapoteza ila sio kirahisi
 
View attachment 3404044
Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey.

Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu mbili za Ulaya katika toleo hili lililopanuliwa la michuano hii.

Nitakuwa hapa kuwapa updates za hii game.

Najua kuna uzi generally kwa mechi hizi ila kwa upekee wa fainali tuwe na uzi separate.
....Uliyoandika Hapo ni Saa Nne Asubuhi. Japo ameweka PM ! Ulipaswa Kuandika 2200 Hrs, kama sikosei ! 🙂
 
20250713_193336.jpg
 
Back
Top Bottom