Halafu huyu ndio anapigiwa chapuo uchezaji bora. Messi angekuwa Europe angewatesa sana.Hivi yule ni Dembele au Tembele.
Dharau mbaya na sifa hulevya.
Halafu huyu ndio anapigiwa chapuo uchezaji bora. Messi angekuwa Europe angewatesa sana.Hivi yule ni Dembele au Tembele.
Dharau mbaya na sifa hulevya.
lawama zinapoanzia ni pale ambapo upande wake ambao unaaminika kuwa ni tishio jana uligeuka kuwa pitio, 2 goals za kurudia script kabisa, attitude mbovu imemjaa pia nasema haya coz tumewaona leftbacks mafundi the likes of Marcelo watulivu kama Davies. Mbona hasemwi Hakimi, Mendes ni overrated bhanaSiku upepo ukiyumba utamlaumu kila mchezaji, sasa Mendez angecheza mwenyewe ilihali unaona kabisa namna gani PSG ilizidiwa kipindi cha kwanza?
Luis Enrique aache dharau maana mpira haujawahi kuzoeleka kimatokeo.
Kiko wapi sasa goli 5 za PSG kuitandika Chelsea FC ktk FIFA WORLD CLUB CUP 2025?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mis io shabiki kiviiiile wa PSG nilijiweka tu upande wao baada ya kuona walivyo serious...ila mm ni Liverpool aisee...😆😆😆😆😆🤣😂😂😂Mkome mtakula 5
Amna timu mkuu.😂Relax, kibonde hafiki Fainali ya dunia.
Ww Tim Yako ipo wapi
Ukweli unaujua Ww mwnywAmna timu mkuu.😂
Amna mkuuUkweli unaujua Ww mwnyw
Huwezi kuhukumu madhaifu ya mchezaji yeyote tokana na mechi 1 au 2 pekee, unapaswa ujiridhishe kuanzia mechi 5 na kuendelea.lawama zinapoanzia ni pale ambapo upande wake ambao unaaminika kuwa ni tishio jana uligeuka kuwa pitio, 2 goals za kurudia script kabisa, attitude mbovu imemjaa pia nasema haya coz tumewaona leftbacks mafundi the likes of Marcelo watulivu kama Davies. Mbona hasemwi Hakimi, Mendes ni overrated bhana
Nimecheka kwa sauti kubwa sana daaah......😆Yaani jana adi "both teams to score" imenikatalia......kweli mpira haramu
PSG jana imenivua nguo kabsa...Nimecheka kwa sauti kubwa sana daaah......😆
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ukitaka umuone Trump akiwa free fuatilia mchezo wa ngumi mnyambuko (MMA) ligi ya UFC mara nyingi anahudhuria na kujichanganya na washabikiWalinzi wa Rais Tanzania wajifunze kwenye ulinzi wa Trump.
Trump aliachwa akiwa huru hadi kuruka ruka