PalmerrrrrrAcha tuone nani mwisho wa siku watafuta comments kati ya PSG au Chelshit
Utasema tuu subir dkk ya 90 😂Chelsea mkuu
WamejitahidiWanaongoza anyway
Subiri, Ww c Ndo mpiga domo humu 😂Wamejitahidi
Utasema tuu subir dkk ya 90 😂
Subiri, Ww c Ndo mpiga domo humu 😂
Sasa Ww ulivyokuwa unapiga domo kusema tutafungwa ukujua Kuna dkk 90?Kumbe unajua 🤣🤣 mpira dk 90
Akili imeanza kukukaa vzr 😂Kumbe unajua 🤣🤣 mpira dk 90
PalmerPSG Bingwa, mpira unadunda lakini hawa watoto ni balaa
Mkome mtakula 5Kuna marudio hapa ya PSG na Bayern aisee hutu tutoto twa psg tunacheza bana....
Kila la heri kwao