Balaa sanaGOAL! Palmer slots the ball into the bottom left corner! Chelsea 1-0 PSGView attachment 3404887
2-0
Joto kali sana,
Tena mbele ya rais
Psg kashagongwa2 tunatafta la3Chelsea watapigwa kama mbwa koko
Acha tuoneDalili zinaonyesha utaisha
Anashuhudia PSG akipigwa unexpectedlyKabisa yupo kisiasa zaidi
C mlikuwa psg mebadili Gia angani tumewagonga la 3 mtakula 5 leoChelsea wana uyanga flani hivi,au wanasimba wenzangu hamuoni?😂
Goli tatuKadi ya 3 ya njano kwa Chelsea