PedroPSG ni Bingwa wa Dunia kwa ubora walionao wacha wachukue tu wamecheza mechi ngumu ya Bayern tu hizo zingine walikua wanatembea kila kitu Vitihna alikua kashika pale kiungo mtu anacheza 6 kama 8 ya zamani..
Fawanews.scMwenye link naomba ashee hapa fawanews imefungiwa
Kuna ile video kutoa uwanjani mpaka kwenye zile ndege, kama unayo naomba unitumie nmeifmtafuta nmeikosa na nmeipenda mno