uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
With good confidenceNaona Chelsea mmeanza kwa kasi mbio za sakafuni
With good confidenceNaona Chelsea mmeanza kwa kasi mbio za sakafuni
Wame umiliki mchezoChelsea wanajiamini sana aisee
Subiri, tukishinda msije kufuta comment zenuNaona Chelsea mmeanza kwa kasi mbio za sakafuni
Sio rahisi hivyo
Kwan PSG walimfungaje madridWith good confidence
Jamaa wako poaNgoja tuone
Download the (CRICFy TV) app, watch all SPORTS and Bangladesh / India/ Pakistan / Some Worldwide TV Channels live on your Mobile/Firestick and android Smart TV without buffering… Cricfy Tv - Cricfy Tv WebsiteMwenye link naomba ashee hapa fawanews imefungiwa
Madrid beki sio imaraKwan PSG walimfungaje madrid
Sema hizo nafasi wanazopoteza wakizipata psg wanawawasha.Wame umiliki mchezo
Subiri, tukishinda msije kufuta comment zenu
Chelsea wamepoteza nafasi mbili hadi sasaPSG wanapelekewa moto si mchezo
Umemuona trump 😂😂 kwanzaMadrid beki sio imara
Psg hacheki na wowoteSema hizo nafasi wanazopoteza wakizipata psg wanawawasha.
Kuna ile video kutoa uwanjani mpaka kwenye zile ndege, kama unayo naomba unitumie nmeifmtafuta nmeikosa na nmeipenda mno
Ana onekana hakuna kitu ana elewa paleKichaa Trump anacheki ball sijui kama kuna kitu anaelewa
Mkulungwa ametulia tuUmemuona trump 😂😂 kwanza