FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

1000188037.jpg
1000188038.jpg
1000188039.jpg
1000188040.jpg

Vijanaa
 
I would like to see Chelsea winning the coveted trophy but looking at the way the PSG outfit play I give Chelsea a little chance of emerging triumphant.

The marauding PSG attackers breeze in the way hot knife cuts through butter something that shows that the Chelsea backline will surely have an uphill task tonight but anyway let us wait and see.
Pure English.
Grade 1
 
PSG ni Bingwa wa Dunia kwa ubora walionao wacha wachukue tu wamecheza mechi ngumu ya Bayern tu hizo zingine walikua wanatembea kila kitu Vitihna alikua kashika pale kiungo mtu anacheza 6 kama 8 ya zamani..
 
Naona ft ka drw kananukia

Ukiwa kkamaria weka
12&3+
MXB all yr mny
 
Lile la aluminium halafu linajaza screen wakati game inaendelea
Hy kujaza screen wakati game inaendelea Mbona ni ishu ya dunia nzima mkuu?

Khs tangazo la aluminum 😂 c ishu tuu ya wadhamini dunia mzima ipo hvy mbona za Ulaya unaona matangazo ya kubet na hulalamiki?
 
Hy kujaza screen wakati game inaendelea Mbona ni ishu ya dunia nzima mkuu?

Khs tangazo la aluminum 😂 c ishu tuu ya wadhamini dunia mzima ipo hvy mbona za Ulaya unaona matangazo ya kubet na hulalamiki?
Hatujaelewana Mkuu
 
Kuna mtu anaitwa Fabian Ruiz nikimuonaga huwa namkumbuka Fernando Redondo, vitoto vya 2000 haviwez kumjua huyu mwamba
 
Imagine haya maandalizi ni kwa ajili ya Chelsea kuchukua ubingwa 🔥
 
Back
Top Bottom