Andika fawanews.sc wapo liveMwenye link naomba ashee hapa fawanews imefungiwa
Andika fawanews.sc wapo liveMwenye link naomba ashee hapa fawanews imefungiwa
Mzee wa mieleka yuleAna onekana hakuna kitu ana elewa pale
Ulitaka aweje ili uone kama anaelewa?Ana onekana hakuna kitu ana elewa pale
Japokuwa umeandika dhihaka kwa Chelsea Ila tone ya hii comment imekaa kinyonge sana mkuu, em tamba kama ulivyokuwa kabla ya mechi 😂Acha tuone nani mwisho wa siku watafuta comments kati ya PSG au Chelshit
Haelewi kitu paleMkulungwa ametulia tu
Mchangamfu lakini ana angalia mpira kama ana zoooUlitaka aweje ili uone kama anaelewa?
Ana ona mda hausogei tu paleMzee wa mieleka yule
Japokuwa umeandika dhihaka kwa Chelsea Ila tone ya hii comment imekaa kinyonge sana mkuu, em tamba kama ulivyokuwa kabla ya mechi 😂
Ila atakuwa anafurahi kuona umati wa watu.Ana ona mda hausogei tu pale
Chelshit ndio nini mkuu?Acha tuone nani mwisho wa siku watafuta comments kati ya PSG au Chelshit
Chelsea atapoteza lakini sio kinyongeChelshit ndio nini mkuu?
Chelsea mkuuChelshit ndio nini mkuu?
Kabisa yupo kisiasa zaidiIla atakuwa anafurahi kuona umati wa watu.
Wanasiasa ndio furaha yao