FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

PSG walijiamini sana ndio shida hio
Walizarau nafikili, Yani ushapanic huko mpk kocha.
Yakifika 4 daaa noma sana.

Ila defense ya Chelsea sina Imani nayo.
Chelsea ni wazuri kutoka kati kwenda mbele,
Ila wakijitahidi wote pamoja kuzuia kwa pamoja afu wakashambulia wachache kwa ufanisi kama goli la 3 walikuwa 5 toka katikati kwenda mbele,
Ili kuzuia counter attack wanaweza fanikiwa.
 
Kanjibai baada ya dk 90
IMG_7591.jpeg
 
Walizarau nafikili, Yani ushapanic huko mpk kocha.
Yakifika 4 daaa noma sana.

Ila defense ya Chelsea sina Imani nayo.
Chelsea ni wazuri kutoka kati kwenda mbele,
Ila wakijitahidi wote pamoja kuzuia kwa pamoja afu wakashambulia wachache kwa ufanisi kama goli la 3 walikuwa 5 toka katikati kwenda mbele,
Ili kuzuia counter attack wanaweza fanikiwa.
Hunaimani nao lakini wenzako ndo wanasonga hivo kujaza mkono5
 
Kwa namna kipa wa Chelsea na uyu Palmer wanavyo tengeneza nafasi kwa kutumia akili nyingi na kasi upo uwezekano wa timu kufungwa Goli 4 mpaka 6 katika mchezo unaonendelea.
 
Huyo mtoto huyoooooo , mtoto kautaka mtoto kautaka ,,,,,,,,,
Haya wale vinyapasila wa asenyetoz ,manyumbu na liverfools mliojificha kwenye kichaka cha Psg muje , hawa mahawara zenu tushawatia vidole vitatu na bado tunaendelea na kazi .
Nishawaambia siku nyingi ,usijichanganye kumuunderate Chelsea linapokuja suala la tournaments za mtoano kama hizi , hata kama wana timu mbovu vipi . Linapokuja suala la michuano ya makombe ya mitoano na fainali , Chelsea hawana mchezo kabisa .Ni utamaduni ushajengeka kwenye club hii , sasa angalia kikosi karibia kizima ni wachezaji wapya tena watoto ,ukimtoa Reece James na Chalobah ambao walikuwepo misimu mingi iliyopita ,ila angalia moto tunaowapelekea hawa mabingwa feki wa UEFA
 
Back
Top Bottom