FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

Nawasikitikia sana wale wanao-bet kwa mechi za soka. Leo hakuna aliyetegemea matokeo haya maana 90% walijua Chelsea anapigwa na mimi ni moja wao.
 
Jifunike blanketi hilo upige usingizi , akili yako ishachanganyikiwa , yaani wewe unaona hao washamba wako kutoka ligi ya wakulima wana ubavu wa kumsumbua Chelsea ? Na kibaya utakuwa umewabetia kushinda mamaeee ,umetoa sadaka kwa mhindi leo
Waturudishe uwanjani hatujaja kuangalia muziki Chelshit wanaenda kufa​
 
Nawasikitikia sana wale wanao-bet kwa mechi za soka. Leo hakuna aliyetegemea matokeo haya maana 90% walijua Chelsea anapigwa na mimi ni moja wao.
Hii itamake sana headline
 
Kwa namna kipa wa Chelsea na uyu Palmer wanavyo tengeneza nafasi kwa kutumia akili nyingi na kasi upo uwezekano wa timu kufungwa Goli 4 mpaka 6 katika mchezo unaonendelea.
Ngoja tuone
 
Hawa wapiga show wanaimba nyimbo za hisia sijui kama mashabiki wa PSG hawalii

Tusubiri comeback kama real walivyofanya 😁
 
Back
Top Bottom