Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hamchezi na inter Milan kiongozi
Inter Milan ni bora kuliko Chelshit
Hamchezi na inter Milan kiongozi
Ngoja tuoneHizi hazirudi mkuu
TutakuwepoAmka ushingizini mkuu
kwani Unawachukuliaje Chelshit hapo gari limewaka mkuu😆
Hawa hawa Yanga wanaotembeza kibakuli?Chelsea wana uyanga flani hivi,
Wewe una macho mazuri..Kwa namna kipa wa Chelsea na uyu Palmer wanavyo tengeneza nafasi kwa kutumia akili nyingi na kasi upo uwezekano wa timu kufungwa Goli 4 mpaka 6 katika mchezo unaonendelea.
Wamesomeka vizuriWewe una macho mazuri..
Mzungu mzungu tu
Angalia magoli yanavofungwa kuna kuwa na watu watatu wawili wanakimbilia golini ili uwakabe halafu amafinga yule yule mwenye mpira.
Hapa mtaalamu wa kusoma mchezo nadhani amepatia kuwasoma PSG
Tunatafta la 4Naota au?