Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Zimeniumizaaa sanaaa Mungu tusaidieeHili limeniumiza sana .
Safari hii nimeumia sana.
Hela zangu
Zimeniumizaaa sanaaa Mungu tusaidieeHili limeniumiza sana .
Safari hii nimeumia sana.
Hela zangu
ChupuchupuIlikuwa la nne
Tukatoee sadakaaaa pesa xa muhindi aziliki burgerChelsea Wametusaidia kupasua puto
Hiyo tisa kumi wananishangaza wanapoenda kufunga hii mbinu ya kwenda watatu unaielewa lakini?Chelsea sijui wanachezaje ila uwezekano wa kufungwa KWA namna walivyojipanga haupo na uwezekano wa wao kuongeza goli uko wazi. Wataalam hii imekaaje.
Hahaha hahahaBetting ni ngumu ndugu zangu.
MTU kaliwa redBalaa sana