FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

Mpaka useme mkuu, Subiri ufurahie show za dkk za mwisho
Mkuu mimi ni shabiki wa Barça leo nilikuwa PSG kwa mkopo tu

By the way janja Yamal yupo kwenye nafasi nzuri ya kuwania Balon d'Or

Kwanza huyo Mendes si ndio walikuwa wanamsifu kuwa alimkaba Yamal mbona leo goli zote 2 zimepitia kwake

Pedri atabaki kuwa bora kuliko Vitinha.
​
 
Mkuu mimi ni shabiki wa Barça leo nilikuwa PSG kwa mkopo tu

By the way janja Yamal yupo kwenye nafasi nzuri ya kuwania Balon d'Or

Kwanza huyo Mendez si ndio walikuwa wanamsifu kuwa alimkaba Yamal mbona leo goli zote 2 zimepitia kwake

Pedri atabaki kuwa bora kuliko Vitinha.
​
Aisee
 
Kinyonge sana mkuu, kama sio yule uliyekuwa Mpayukaji 😂
 
Mtachapika vibaya sana nyie vibonde​
images.jpeg
 
Back
Top Bottom