Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
MiujizaaaaaNawaaachia wajumbe mchambue
MiujizaaaaaNawaaachia wajumbe mchambue
Naona mendes anaangusha Tu makabati sasa baada yakukosa magoliusiku wa balaa....
Wameingia na mbuziChelsea wameweka kitu golini kwao
Tayari what a performanceUsiku mzito
Walikuwa wanashambikia wachache ChelseaWee angalia wao wangapi kwa beki ngapi
Jamaa ni wajanja sanaHiyo tisa kumi wananishangaza wanapoenda kufunga hii mbinu ya kwenda watatu unaielewa lakini?
Unaona kama rahisi ila kuna usomi unatumika yaani ni kuwa kuna topic wamepatiwa nje ya uwanja.
Hahaha kashindikana aiseeHahaha hahaha
Mhindi mtaalam hata dukani tu anachoma ubani sembuse kwenye pesa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Inter Milan ni bora kuliko Chelshit
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Inter Milan ni bora kuliko Chelshit
Watu wenye mioyo ya Jiwe ndo waliokomaa na Chelsea hadi mwisho, eventually doneWalikuwa wanashambikia wachache Chelsea
PSG mmechanganyikiwa 😂Wakome walifikiri Chelsea ni RMA au Inter Milan 🤣
Kocha mpaka anapigana na wachezaji 😂Naona kocha wao anashindia kwenye tanuru la barafu
PSG mmechanganyikiwa 😂
Wamekufa mapemaTukatoee sadakaaaa pesa xa muhindi aziliki burger
Sadaka haupo
Zaka haupo
Mungu lazima akupe mhindi ukantolee hukoo