Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 557
- 940
Amekutana na king of final
Waingereza wana mdomo, bongo tunaisoma namba, yaani huyo alIerusha ngumi atazodolewa kwenye tv zao mpaka FIFA itamfinya kisawasawa....Kwani shida ilikuwa nini hapo 😂
Siku upepo ukiyumba utamlaumu kila mchezaji, sasa Mendez angecheza mwenyewe ilihali unaona kabisa namna gani PSG ilizidiwa kipindi cha kwanza?Alafu nilichogundua ile siku Lamine Yamal alikuwa amelewa Nuno Mendes mbona hajui mpira kabisa hanasa bwana mdogo zimemjaa tu ila angekuwa fit Mendes angeaibika sana
Ila kweli wanapenda Shari japo wachezaji wa PSG wanawahi kupanick sanaWaingereza wana mdomo, bongo tunaisoma namba, yaani huyo alIerusha ngumi atazodolewa kwenye tv zao mpaka FIFA itamfinya kisawasawa....
Chelsea FC vs dunia nzima (Arse8, Mwantesa Utd & Liverkuku, Barcelona).Amini haya matokeo yanawatesa zaidi mashabiki wa Man U, Arsenal na Liverpool kuliko wa PSG
Kweli kabisaCheltako chelwowowo 5 zinamuhusu
Shida nini ujue upande wake umetumika sana kupitia yaani upenyo ulikuwa mkubwa sanaSiku upepo ukiyumba utamlaumu kila mchezaji3, sasa Mendez angecheza mwenyewe ilihali unaona kabisa namna gani PSG ilizidiwa kipindi cha kwanza?
Luis Enrique aache dharau maana mpira haujawahi kuzoeleka kimatokeo.
Kiko wapi sasa goli 5 za PSG kuitandika Chelsea FC ktk FIFA WORLD CLUB CUP 2025?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mpira una matokeo ya kikatili mnoSiku upepo ukiyumba utamlaumu kila mchezaji, sasa Mendez angecheza mwenyewe ilihali unaona kabisa namna gani PSG ilizidiwa kipindi cha kwanza?
Luis Enrique aache dharau maana mpira haujawahi kuzoeleka kimatokeo.
Kiko wapi sasa goli 5 za PSG kuitandika Chelsea FC ktk FIFA WORLD CLUB CUP 2025?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
😁Awaponde Iran na ChinaTrump anaweza kuomba ahutubie kwanza 😂 😂 😂 😂
Na akapitisha sera za ushuru hapo hapo 😂 😂 😂😁Awaponde Iran na China
Mpe tu Palmer maua yake achana na Lamine, Nuno anaujua ila ndo hivyo kakutana na kibokoAlafu nilichogundua ile siku Lamine Yamal alikuwa amelewa Nuno Mendes mbona hajui mpira kabisa hanasa bwana mdogo zimemjaa tu ila angekuwa fit Mendes angeaibika sana
Mfano Vitinha leo alicheza mpira gani hasa wa kutosha?Shida nini ujue upande wake umetumika sana kupitia yaani upenyo ulikuwa mkubwa sana
Safi sana Mkuu.
🤣Wadau shughuli haikuwa yao wakaivalia madelaAmini haya matokeo yanawatesa zaidi mashabiki wa Man U, Arsenal na Liverpool kuliko wa PSG
Nakubaliana na wewe kiongozi walitepeta tangu mechi inaanza 😂😂😂😂😂Mfano Vertinha, leo alicheza mpira gani hasa wa kutosha?
Je Dembele?
Vipi Dogo aliyewafunga Intermilan goli 2 ktk UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2024/2025 naye alionekana kiubora?
Achraf Hakimi tangu awali hakuna alichoonesha na alistahili kadi nyekundu kwa kumpiga kipepsi Cole Palmer, alionesha ubora gani leo?
PSG ilizidiwa kimbinu tukubali ukweli hata kama ni mchungu, Mendez unamuonea bure tu ilihali makosa ni ya timu yote kiujumla.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ndiyomaana Wahenga walihitimisha "mpira unadunda ila si kwenye maji". Usijichanganye kabisa kujihakikishia matokeo ya timu yako kabla mpira haujaisha, tutakuzika kwa kufa kwa BP na kujitafunia Mama watoto wako kimasihara.........🤭Mpira una matokeo ya kikatili mno