Goli la 3 Chelsea naota au naoteshwaKadi ya 3 ya njano kwa Chelsea
C mlisema mpira unadundaPSG defence namna gani pale
Wanapigwa km NgomaPSg wameingia kwemye mfumo leo
MshapataPsg kashagongwa2 tunatafta la3
TayariPsg kashagongwa2 tunatafta la3
Wanamlipia Madrid zile 4Au wamepanga matokeo.
Jamaa akitaka kufunga anaangalia pa kupiga kabisa na kipato anajua ila akinyoosha mbavu haufikii
Naota au?Wanamlipia Madrid zile 4
PSG walijiamini sana ndio shida hioChelsea 3-0 Psg.
Au mwenyekiti wa psg ni Mangungu?🤣
Nani walisema?C mlisema mpira unadunda
Overconfidence makes you wekaPSG walijiamini sana ndio shida hio
KWA jinsi wanavyocheza Chelsea PSG wakikosea kidogo wakapotezea jamaa ni pasi mbili au tatu wako KWA kipa hawarembi.Wanamlipia Madrid zile 4