Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Www.Linkup.comMwenye link please
Www.Linkup.comMwenye link please
Hii pas katoa Nan hapa?GOAL! Joao Pedro chipps the ball into the net as Palmer assists! Chelsea 3-0 PSG
View attachment 3404927
Mendes kazidiwa huku kushotoPSG defence namna gani pale
Jifunike blanketi hilo upige usingizi , akili yako ishachanganyikiwa , yaani wewe unaona hao washamba wako kutoka ligi ya wakulima wana ubavu wa kumsumbua Chelsea ? Na kibaya utakuwa umewabetia kushinda mamaeee ,umetoa sadaka kwa mhindi leoAcha tuone nani mwisho wa siku watafuta comments kati ya PSG au Chelshit
Hii pas katoa Nan hapa?
Umeona kiongozi ....wanapitia sana upande wake akipanda anachelewa kurudiMendes kazidiwa huku kushoto
😃😃😃Jifunike blanketi hilo upige usingizi , akili yako ishachanganyikiwa , yaani wewe unaona hao washamba wako kutoka ligi ya wakulima wana ubavu wa kumsumbua Chelsea ? Na kibaya utakuwa umewabetia kushinda mamaeee ,umetoa sadaka kwa mhindi leo
Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]PSG wamepanda mtumbwi wa vibwengo, hakuna rangi wataacha kuona
Tumeshushwa mori sanaUmeona kiongozi ....wanapitia sana upande wake akipanda anachelewa kurudi
Hii pas ya kibabe sana akili nyingiCole palmer
Palmer mwenyewe.Hii pas katoa Nan hapa?
Umeachana na PSG sasa hv umehamia kwa Trump 😂 pole sana mkuuRaisi gani, huyo mwendawazimu Trump?
Joto kali tupo na PSG hadi mwishoWale ng'ombe mliokuwa mnaipinga Chelsea mnaendeleaje huko zizini 😂