uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Balaa sanaWakuu, hili production ya hii mechi 🙌
Balaa sanaWakuu, hili production ya hii mechi 🙌
Hii ya Leo sijui wamechukua ngap ila kawaida SI dk 15 auHivi half time inachukua dakika ngapi?
Subiria ball liishe tulie vizuri.Huyu Cheltako alipewa Odd 6 nikampotezea Mamamaeee
Shikamoo Kanji😳
Hii imeisha mkuuSubiria ball liishe tulie vizuri.
Sio poa mkuu, wenzetu wanajua kujipanga aisee sio mdomoBalaa sana
Nahisi leo hata waliopanga odds wenyewe walimbetia Chelsea ila ndiyo hivyo ball linadundaHuyu Cheltako alipewa Odd 6 nikampotezea Mamamaeee
Shikamoo Kanji😳
Nimecheka sanaHuyo mtoto huyoooooo , mtoto kautaka mtoto kautaka ,,,,,,,,,
Haya wale vinyapasila wa asenyetoz ,manyumbu na liverfools mliojificha kwenye kichaka cha Psg muje , hawa mahawara zenu tushawatia vidole vitatu na bado tunaendelea na kazi .
Nishawaambia siku nyingi ,usijichanganye kumuunderate Chelsea linapokuja suala la tournaments za mtoano kama hizi , hata kama wana timu mbovu vipi . Linapokuja suala la michuano ya makombe ya mitoano na fainali , Chelsea hawana mchezo kabisa .Ni utamaduni ushajengeka kwenye club hii , sasa angalia kikosi karibia kizima ni wachezaji wapya tena watoto ,ukimtoa Reece James na Chalobah ambao walikuwepo misimu mingi iliyopita ,ila angalia moto tunaowapelekea hawa mabingwa feki wa UEFA
Hizi hazirudi mkuuTunaeza kwenda extra time
DahNahisi leo hata waliopanga odds wenyewe walimbetia Chelsea ila ndiyo hivyo ball linadunda
Mwenye link nimcheki hii mechi wadauChelsea wamechelewa sana
Hamchezi na inter Milan kiongoziKama Chelshit wameweza kufunga goli 3 first half, PSG watashindwaje kuichabanga goli 3 Chelshit?
Here we go 2nd half
Amka ushingizini mkuuKama Chelshit wameweza kufunga goli 3 first half, PSG watashindwaje kuichabanga goli 3 Chelshit?
Here we go 2nd half