FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Naam leo ndo leo ndani ya Mkwakwani Tanga baada ya wananchi kutoka kumpiga mtani wao goli 5 leo wanakutana na Coastal union je, watoto wa Tanga watakubali kupigwa 5?

F-az1orbIAA7VYh.jpeg

Kikosi cha Yanga

F-bFZJEXMAAlX0K.jpeg
Mchezo umeanza
 
Kwani hizi thread zina nini siku hizi jamani hadi watu mnawahi kuzipost saa sita ya usiku?

Hizi ndio mechi za kuwachezesha Metacha, Kibwana, Fredy, Mauya, Sureboy, Konkoni, Moloko,Skudu hata Musonda maana hana msaada wowote first eleven.

Wazee wa kazi wapumzike, huwezi kumuanzisha Profesa Pacome Vs Coastal ni uonevu na unyanyasaji.
 
Kwani hizi thread zina nini siku hizi jamani hadi watu mnawahi kuzipost saa sita ya usiku?

Hizi ndio mechi za kuwachezesha Metacha, Kibwana, Fredy, Mauya, Ngushi, Konkoni, Moloko hata Musonda maana hana msaada wowote first eleven.

Wazee wa kazi wapumzike, huwezi kumuanzisha Profesa Pacome Vs Coastal ni uonevu na unyanyasaji.
Kocha asipange hivyo atakosea kama alivyokosea na ihefu 😥😭😭
 
Hizi ndio mechi za kufanyia rotation wachezaji wetu ngoma ikiwa ngumu tunaingiza full mkoko.
Ndugu zetu makolo hawanaga rotation kabisa 11st yao ni ile ile
Huo uwanja una maajabu yake wala usiingie na matokeo yako uwanjani 1 kwa 1, "mpira hauna mwenyewe"

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kocha asipange hivyo atakosea kama alivyokosea na ihefu [emoji26][emoji24][emoji24]
Watu hawaelewi kabisa kuwa yeyote anayeshiriki NBC PL ni mpinzani tena si wa mchezo mchezo, ni heri ukaanza full mziki kisha wakatolewa mapema baada ya kupatikana kwa matokeo mazuri ya uhakika eg; 3-0 dakika 60 za mpira.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom