FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Hizi ndio mechi za kufanyia rotation wachezaji wetu ngoma ikiwa ngumu tunaingiza full mkoko.
Ndugu zetu makolo hawanaga rotation kabisa 11st yao ni ile ile
Hapana "dont change the winning team" weka full mkoko pata matokeo pumzisha watu
Hilo kosa lilifanyika kwenye game ya IHEFU ni kosa la jinai
 
Kwani hizi thread zina nini siku hizi jamani hadi watu mnawahi kuzipost saa sita ya usiku?

Hizi ndio mechi za kuwachezesha Metacha, Kibwana, Fredy, Mauya, Sureboy, Konkoni, Moloko,Skudu hata Musonda maana hana msaada wowote first eleven.

Wazee wa kazi wapumzike, huwezi kumuanzisha Profesa Pacome Vs Coastal ni uonevu na unyanyasaji.

Mmeshasahau habar za ihefu ee. Wekeni wote ili mkifungwa msilie lia.
 
Hayo makosa ya kupumzisha watu yalitugharimu kwa ihefu anzisha winning team akiwamudu na unaongoza goli tatu pumzisha watatu hizi game za mkoani ukitaka kupumzisha unaeza ambulia sare au ukachapwa bora ungekuwa dar
 
All the best wananchi.
Yanga ina viongozi Bora na wenye maono engineer

Simba ina viongozi vialaza na wapumbavu akina Mangungu.
Mangungu unamuonea tu, hana mamlaka makubwa kiutendaji, wanachama wa Simba mnapaswa kumtetea maana ndio mwakilishi wenu, ila mnajitoa akili kwa kuwa upande wa MO badala ya kuwa upande wenu wa UANACHAMA.
 
All the best wananchi.
Yanga ina viongozi Bora na wenye maono engineer

Simba ina viongozi vialaza na wapumbavu akina Mangungu.
Pole Sana usikatie tamaa Simba bado ina nafasi ya kufanya vizuri...
All in all Yanga ndo timu Bora Kwa sasa Tanzania na ukanda wote huu wa maziwa makuu

All the best Dar Young Africans [emoji169][emoji172]
 
Kila la heri kwa Wananchi.

Ingawa natambua fika mchezo utakuwa ni mgumu sana. Ukichukulia kwamba tunacheza na Simba B, lakini pia timu imetoka kucheza mechi kubwa na ngumu dhidi ya wapinzani wake wa jadi! Lakini pia timu ina mechi ngumu siku chache zijazo dhidi ya Waarabu!!

Kwa kweli matokeo katika mechi ya leo yako mikononi mwa kocha Garmondi. Je, ataanzisha kikosi chake cha mauaji? Au atakipumzisha na hivyo kuanza na kikosi cha wachezaji wengi wasiopata muda mwingibwa kucheza?
 
Hizi ndio mechi za kufanyia rotation wachezaji wetu ngoma ikiwa ngumu tunaingiza full mkoko.
Ndugu zetu makolo hawanaga rotation kabisa 11st yao ni ile ile
Huu mchezo hauna tofauti na ule dhidi ya Ihefu. Hivyo kocha anatakiwa aingie kwenye mchezo kwa tahadhari kubwa.
Maana ana mchezo mgumu mbele yake dhidi ya Waarabu, lakini pia timu inahitaji pointi 3 muhimu kutoka kwa Wagosi wa Kaya, ili kujiimarisha kileleni.
 
Assist & 2.5 yanga
IMG_20231107_011442.jpg
 
Back
Top Bottom