FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

5G Inajirudia tena na leo.
Coastal na Yanga zote zinafadhiliwa na GSM. Hamna ushindani hapa
 
Coastal Union anaingia humu leo
1699437722791.jpg
 
Kwani hizi thread zina nini siku hizi jamani hadi watu mnawahi kuzipost saa sita ya usiku?

Hizi ndio mechi za kuwachezesha Metacha, Kibwana, Fredy, Mauya, Sureboy, Konkoni, Moloko,Skudu hata Musonda maana hana msaada wowote first eleven.

Wazee wa kazi wapumzike, huwezi kumuanzisha Profesa Pacome Vs Coastal ni uonevu na unyanyasaji.
Nikutumia rungu kumpiga mbu aliyetua kwenye mboni ya jicho
 
Hapana "dont change the winning team" weka full mkoko pata matokeo pumzisha watu
Hilo kosa lilifanyika kwenye game ya IHEFU ni kosa la jinai
nakazia, the winning team never change, normally fanya sub baada ya uhakika wa ushindi
 
Kila laheri wagosi, chukueni hizo point 3 za hao Uto... kama Ihefu.
 
Back
Top Bottom