FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Hayo makosa ya kupumzisha watu yalitugharimu kwa ihefu anzisha winning team akiwamudu na unaongoza goli tatu pumzisha watatu hizi game za mkoani ukitaka kupumzisha unaeza ambulia sare au ukachapwa bora ungekuwa dar
Kabisa ila leo kocha ataweka wachezaji wazuri
 
Mnavyojikuta mnaongea kiufundi utadhani basi timu yenu ni manchester city

Yaani kutufunga basi kila mmoja ni kocha na mkaa benchi la ufundi .

Anyway kila kheri bwana huko mkwakwani yeyote ashinde tu maana hata nikisema mpigwe sio rahisi kihivyo .
 
Kakesha kilabuni akijiachia na banana wine ya kijani na njano hadi akili ikayumba then akaja hapa kwa uzi kusambaza ushuzi wewe unakerwa na nini?

Mvumilie tu ni ndugu yako huyo 😁😁
Mkuu leo tujikite na hawa wagosi wa kaya kwanza... Achana na hao wafukuza upepo
 
All the best wananchi.
Yanga ina viongozi Bora na wenye maono engineer

Simba ina viongozi vialaza na wapumbavu akina Mangungu.
MTU anaitwa mangungu utashi na weredi Bora wa kimaono,,mitazamo na kifikra ya Kiongozi Haswa huu wa ulimwengu wa kasimatautoa wapi?? waachie akili mpya zifanye haya mambo,,wao wabaki kutema dua Tu na mibaraka Kwa vijana wao,,Hakuna kitu kizurr kama kujitambua na kujaaliwa Hekima na busara ya kuishi Kwa kuheshimu,,kutukuza na kujali Nyakati!!
 
..
255764555455_status_c0b90baa94a844879fc7bc8eaf3251c9.jpg
 
Hili tawi la simba leo watatukamia sana kwakua tumemfunga mama yao watakua na hasira sana , tutegemee rafu nyingi sana tena za hatari za kuwaumiza wachezaji wetu tegemezi
Kabisa ila watapigwa nyingi
 
Back
Top Bottom