FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

"Wanayanga naona wana furaha mpwitempwite furaha bojobojo"

Walid Mzize anapiga UTOSI wa maana.

Ni maneno ya huyu mtangazaji wa hii mechi na Coast. Ni raha sana kumskiza huyu mtangazaji, cjui anaitwa nani huyu. Atafika mbali huyu.🤣🤣🤣
 
Simba imefungwa,coacher kafukuzwa.
Simba inafungwa bila kocha, wachezaji wote wafukuzwe,waende nae.
 
Back
Top Bottom