FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

Mkuu kwa hiyo kipimo cha ubovu wa simba unakopima kwa kuangalia uto!
Basi sawa.
 
Simba sio mbovu ila ina wachezaji wasio na kiu ya kushinda NBC. Wachezaji ni wazuri ila hawana njaa, wanacheza ilimradi tu pesa iingie mifukoni mwao. Pamoja na fitina za upande wa pili (kurwa), wachezaji wetu hawana morale kabisa.
Dah
 
Kuna watu ukikosoa Simba wanajifanya wao ndio Simba kumbe wameijua juzijuzi,,, uongozi wa Dalali ndio ulianzisha Simba daytena ulikuwa unaweka wazi mapato huu wa Sasa mpaka Sasa unaficha mapato kuanzia ya mechi, kuuza wachezaji, matangazo ya jezi.
Mo amekuta Simba Ina jengo lakini alitaka apewe hati, amekuta uwanja wa Bunju amefanya uitwe mo arena Kama kweli mo anaitakia Simba mafanikio asingelazimisha kuwa mwekezaji pekee.
 
Maneno mengi kweli ila hujaja na mbadala wa Mo wala hujaonyesha slip ya mchango wowote kutoka kwako msimu huu kwa Simba. Porojo tu. Bla bla bla za mimi Simba baba yangu sunderland.
 
Weka mbadala wa Mo hapa. Aondoke Mo aje nani? Uchungu wa maneno matupu hauna maana, toa mbadala wa Mo.
 
Usajili wa Konkoni ulikuwa bora kuwahi kutokea tz
Sie tunakosea padogo.
Konkon tumempa mbadala wa musonda na mzize.
Ila ninyi mnakosea pakubwa aisee mpaka mnatia aibu katika usajili
 
Tatizo namba moja simba muwekezani(Mo)
Halafu tatizo namba mbili mwenyekiti ya wanachama(Mangungu)
Tatizo namba Try again na CEO
Yule mwanadada barabra alikuwa wamoto sana na project yake ila majungu ya wazee wa simba na kina mangungu wameiharibu hii timu iwe ya kipigaji
Kuna interview moja ya barbra bado akiwa uongozini alidadavua mengi sana kuhusu mianya ya upigaji ilivyokuwa inafanywa na kina mangungu
Walikosea sana kumstafisha yule mwanadada kinguvu matokeo yake ni haya mtu anakwambia mafanikio ya mwaka huu ni kumfunga mtani kweli wtf?
Hakuna ubingwa tutakaochukua chini ya hawa wakina mangungu,asha baraka &Co wasiopenda mageuzi na mabadiliko zaidi ya siasa tu nipo hapa
 
Weka mbadala wa Mo hapa. Aondoke Mo aje nani? Uchungu wa maneno matupu hauna maana, toa mbadala wa Mo.
Akisema ni tag
 
Reactions: Tsh
Weka mbadala wa Mo hapa. Aondoke Mo aje nani? Uchungu wa maneno matupu hauna maana, toa mbadala wa Mo.
Huyo Mo anaelia kila.msimu anapata hasara tena kipindi klabu iko na upepo wa kufuzu robo fainali club bingwa akijua fungu likiingia litaenda kwake kwa vile anapata hasara kuendesha club?
Wapo matajiri zaidi ya Mo
Najuta kati ya watu tuliofanya kampeni ya Mo aichukue simba na mimi nilikuwa moja wapo heri yule mzee wa azam tungempa timu sio huyu bahili
 
Maneno mengi kweli ila hujaja na mbadala wa Mo wala hujaonyesha slip ya mchango wowote kutoka kwako msimu huu kwa Simba. Porojo tu. Bla bla bla za mimi Simba baba yangu sunderland.
MO atoke halafu tuone kama hawajajitokeza wawekezaji wazuri kuliko yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…