FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

Simba ni mbovu! Kama wachezaji hawajitumi basi uongozi una shida! Na kama kuna fitna za upande wa pili wa utopolo basi uongozi wa Simba ni mbovu hauna uwezo wa kupambana na fitna za soka la Tanzania!

Simba ya Dalali, Simba ya Rage! Simba ya Kaburu! Simba ya malkia wa nyuki zote hizo zilikuwa Simba za misukosuko ila hazijawahi kufungwa tano na utopolo! Bali Simba ndio ilikuwa inapambana haswa!

Hakuna Simba iliyokuwa mbovu kama ya 2013! Ilikuwa ya vijana wa waliotoka Simba b! Ilikutana na yanya iliyokuwa vizuri kila idara ikiwa chini ya bilionea Manji,ila mechi ya tarehe 20 Oct 2013 Simba ilipata sare ya tatu tatu na yanga tena Simba ikitoka nyuma na kusawazisha goli zote mpaka yanga wakiomba mpira uishe!

Eti Simba inakuja kufungwa tano na yanga halafu linakuja shabiki la mchongo linasema Simba sio mbovu!
Timu inacheza na kupata ushindi wa kubahatisha halafu mtu anasema Simba sio mbovu!
Mkuu kwa hiyo kipimo cha ubovu wa simba unakopima kwa kuangalia uto!
Basi sawa.
 
Simba sio mbovu ila ina wachezaji wasio na kiu ya kushinda NBC. Wachezaji ni wazuri ila hawana njaa, wanacheza ilimradi tu pesa iingie mifukoni mwao. Pamoja na fitina za upande wa pili (kurwa), wachezaji wetu hawana morale kabisa.
Dah
 
Acha ujinga wewe! Nyie ndio mmekuja mjini kwa mbio za mwenge!
Mimi ni Simba og! Simba Originali tena wazee walichangia ujenzi hapo msimbazi!

Vizazi vyetu vimekuwa Simba toka Simba inaitwa Sunderland! Mpaka ukatokea mgogoro ikazaliwa nyota nyekundu ambayo nayo ina jengo hapo msimbazi na lindi street!

MO ameikuta Simba ina mataji kibao! Ni mafanikio gani MO ameleta Simba ambayo ni ya ajabu! Simba imewahi kufika robo fainali champion's league kabla ya kuja uyo MO! Simbasc imewahi kufika nusu fainali club bingwa Africa mwaka 74! Simbasc imefika fainali kombe la caf mwaka 93!.

Hakuna jipya MO ameleta Simba kama mfumo ni ule ule! Usajili wa kina Jobe, Fred, Ntibazonkinza na wengine wa dizaini hio kuna maana gani ya kuwa na mwekezaji! Hata mzee Hassan Dalali hajawahi kuleta wachezaji wabovu kama hawa!

Simbasc haiwezi kukosa muekezaji wa maana aondoke tu! Wanachama tukipata uongozi bora wenye vision tunaweza kupata pesa nyingi na mafanikio makubwa bila kutegemea muekezaji kanjanja.
Kuna watu ukikosoa Simba wanajifanya wao ndio Simba kumbe wameijua juzijuzi,,, uongozi wa Dalali ndio ulianzisha Simba daytena ulikuwa unaweka wazi mapato huu wa Sasa mpaka Sasa unaficha mapato kuanzia ya mechi, kuuza wachezaji, matangazo ya jezi.
Mo amekuta Simba Ina jengo lakini alitaka apewe hati, amekuta uwanja wa Bunju amefanya uitwe mo arena Kama kweli mo anaitakia Simba mafanikio asingelazimisha kuwa mwekezaji pekee.
 
Maneno mengi kweli ila hujaja na mbadala wa Mo wala hujaonyesha slip ya mchango wowote kutoka kwako msimu huu kwa Simba. Porojo tu. Bla bla bla za mimi Simba baba yangu sunderland.
 
Weka mbadala wa Mo hapa. Aondoke Mo aje nani? Uchungu wa maneno matupu hauna maana, toa mbadala wa Mo.
 
Tatizo namba moja simba muwekezani(Mo)
Halafu tatizo namba mbili mwenyekiti ya wanachama(Mangungu)
Tatizo namba Try again na CEO
Yule mwanadada barabra alikuwa wamoto sana na project yake ila majungu ya wazee wa simba na kina mangungu wameiharibu hii timu iwe ya kipigaji
Kuna interview moja ya barbra bado akiwa uongozini alidadavua mengi sana kuhusu mianya ya upigaji ilivyokuwa inafanywa na kina mangungu
Walikosea sana kumstafisha yule mwanadada kinguvu matokeo yake ni haya mtu anakwambia mafanikio ya mwaka huu ni kumfunga mtani kweli wtf?
Hakuna ubingwa tutakaochukua chini ya hawa wakina mangungu,asha baraka &Co wasiopenda mageuzi na mabadiliko zaidi ya siasa tu nipo hapa
 
Weka mbadala wa Mo hapa. Aondoke Mo aje nani? Uchungu wa maneno matupu hauna maana, toa mbadala wa Mo.
Huyo Mo anaelia kila.msimu anapata hasara tena kipindi klabu iko na upepo wa kufuzu robo fainali club bingwa akijua fungu likiingia litaenda kwake kwa vile anapata hasara kuendesha club?
Wapo matajiri zaidi ya Mo
Najuta kati ya watu tuliofanya kampeni ya Mo aichukue simba na mimi nilikuwa moja wapo heri yule mzee wa azam tungempa timu sio huyu bahili
 
Maneno mengi kweli ila hujaja na mbadala wa Mo wala hujaonyesha slip ya mchango wowote kutoka kwako msimu huu kwa Simba. Porojo tu. Bla bla bla za mimi Simba baba yangu sunderland.
MO atoke halafu tuone kama hawajajitokeza wawekezaji wazuri kuliko yeye.
 
Back
Top Bottom