FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

Sawa humtaki, Sawa hafai, then? Yupi ni bora zaidi na yupo tayari?
 
Halafu Mimi inisaidie nini? Pambana na size yako Azam
Hii timu ya Kolozidad/simba na mashabiki zake wana maumivu makali kama ya saratani.
Wako hopeless🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hongereni..
Haikuwa Rahisi..
 
MO atoke halafu tuone kama hawajajitokeza wawekezaji wazuri kuliko yeye.
Wanachama tunaweza kulisha Club? Kwa muda gani? Ili tujue tunaweza msubiri kwa muda gani. Mfano tukisema tutaje watu wa5 tu ambao wanaweza kuwa interested unaweza kuja na majina?
 
Yah always sio rahisi kucheza na timu yoyote dhidi ya mnyama kwa hapa Tanzania..wamejaa visasi vya kutukomoa kisa tupo namba 5 Africa kwa ubora... πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Samaleko blogger
Pa1 sana blood...
 
Weka mbadala wa Mo hapa. Aondoke Mo aje nani? Uchungu wa maneno matupu hauna maana, toa mbadala wa Mo.
Waambie uongozi utangaze wanahitaji wawekezaji wengine Kama hawatajitokeza.
Hivi ushaona mfanyabiashara anapata hasara halafu anaendelea na biashara hiyohiyo.
Simba jezi yake imejaa matangazo yake, mpaka klabu bingwa makundi kaweza matangazo yake hasemi analipa shilingi ngapi, Azam walipotaka kuidhamini Simba kwa bilioni 41 kwa miaka 10 alikataa akasema brand ya Simba ni kubwa lakini yanga waliokubali tukienda kununua wachezaji wanatupiga bao yeye anadajili kina sawadogo au Fredy halafu anadanganya Ayoun kamnunua bilioni 3, kwa kifupi yeye ndio namba moja kuidifimiza Simba .
Nataka nikukumbushe kauli zake kabla hhauziwa hisa
Nataka Simba iwe Kama Al ahly au mazembe wote hao hatujawakaribia hata nusu.
Simba inauza wachezaji wazuri nikiingia sitakubali, Ila tangia ameingia wameuzwa konde boy, chama ambao wamerudi bwalya na sacho. Uliniambia walikuwa Bei gani hao wachezaji nitaacha kukubishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…