Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
HahahaAkisema ni tag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaAkisema ni tag
Halafu Mimi inisaidie nini? Pambana na size yako AzamUlijua tungetoka suluhu 😃
Sawa humtaki, Sawa hafai, then? Yupi ni bora zaidi na yupo tayari?Huyo Mo anaelia kila.msimu anapata hasara tena kipindi klabu iko na upepo wa kufuzu robo fainali club bingwa akijua fungu likiingia litaenda kwake kwa vile anapata hasara kuendesha club?
Wapo matajiri zaidi ya Mo
Najuta kati ya watu tuliofanya kampeni ya Mo aichukue simba na mimi nilikuwa moja wapo heri yule mzee wa azam tungempa timu sio huyu bahili
Hii timu ya Kolozidad/simba na mashabiki zake wana maumivu makali kama ya saratani.Halafu Mimi inisaidie nini? Pambana na size yako Azam
Hongereni..Leo 09.03.2024
Muda wa Saa 12 Jioni.
Coastal Union ya Tanga, Inaikaribisha Simba SC ya Dar es salaam katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.
Simba huu ni mchezo wake wa 17, ikiwa na Alama 36. Nafasi ya Tatu(03) katika msimamo.
Coastal Union huu ni mchezo wake wa 20, Alama 27, Nafasi ya Nne katika Msimamo.
Tukutane Baadae kwa Updates.
#nguvumoja#.
Kikosi cha Simba Kitakachoanza.
Kikosi Cha Coast Union.
NB: huu mchezo ni muhimu sana Simba kushinda.
Updates...
Dakika 6'
Inapigwa kick kali, Lackred anapangua.
Inakuwa kona.
Wanapiga kona Coast haileti madhara
Dakika ya 10'
Simba wanapata kona, anapiga Chama C.
Gooooooal Freddy anaipatia Simba goli lakuongoza.
Bonge la Goal....
Goooooal....
Dakika 15'
Coastal Wanapata kona hapa.
Inapigwa haileti madhara yoyote.
Dakika 24'
Lukasi Kikoti anaipatia Coastal Union goli la kusawazisha, Kupitia free kick.
1-1
45'
Nyongeza ni 4'
HT
1-1
60'
Coastal wanapata Kona .
Inatoka nje, inakuwa goal kick.
Sub Simba.
Babakar Sarr OUT
Mzamiru Inn
Miquisonne Out
Kibu D Inn.
Freddy Out
Jobe Inn
Dakika 70'
Sub Kwa Simba.
Saidoo Out
Onana Inn.
72'
Goooooooooooal Onana...
Chuma ya pili kwa Simba.
1-2.
90'
Nyongeza ni 8'
FT
Coastal Union 1- 2 Simba.
View attachment 2929706
Point 3 muhimu!!
Mpira umeanza kufatilia lini? Ushawahi msikia Abbas Gulamali? Na swali langu yanga washawahi kumtimua muwekezaji/mfadhili yupi?Tulishawahi kuwa na Mwekezaji gani zaidi ya Manji na GSM?
Hapana ila nawaonyesha hakuna ajabu lolote kama uto alishafeli miaka mi4Kwa hiyo wewe unaona ni ufahari kuiga kufeli?
Wanachama tunaweza kulisha Club? Kwa muda gani? Ili tujue tunaweza msubiri kwa muda gani. Mfano tukisema tutaje watu wa5 tu ambao wanaweza kuwa interested unaweza kuja na majina?MO atoke halafu tuone kama hawajajitokeza wawekezaji wazuri kuliko yeye.
Thanx mtani...
Ni yule rfk yetu kwny jina jipya au?
Ndio mtani wanguNi yule rfk yetu kwny jina jipya au?
Sawa mtani pamoja....Ndio mtani wangu
Waambie uongozi utangaze wanahitaji wawekezaji wengine Kama hawatajitokeza.Weka mbadala wa Mo hapa. Aondoke Mo aje nani? Uchungu wa maneno matupu hauna maana, toa mbadala wa Mo.