Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hongera sanaPost hii hapa mkaangalie na ya Jana natabiri kabla ya mechi kuchezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sanaPost hii hapa mkaangalie na ya Jana natabiri kabla ya mechi kuchezwa
Nione wivu kwenye papatupapatu?Wivu
Utopolo mjifunze...
Tabia ya Timu Kubwa..
Kurudi Kwenye pace baada ya kupoteza
Asante mkuuHongera sana
Utopolo ina nini cha ziada? Labda majiniSimba si mbovu , shida inapokuja wanapotaka kujilinganisha na perfomance ya Yanga.
Asante mkuu ..Mr uranHongera mikeka yako inatiki sana
Hili Litapunguza kelele maana watu tunaolipia Tumekaa KimyaIfike mahali mtu yoyote anayetaka MO afukuzwe sababu ya matokeo aambatanishe kadi ya uanachama na slip ya mchango wake bank kwa Simba kuhalalisha hoja yake.
Hapa ndipo wakina Mangungu na Jaribu Tena wanapata jeuri ya kuwageuza kama chapati.Ifike mahali mtu yoyote anayetaka MO afukuzwe sababu ya matokeo aambatanishe kadi ya uanachama na slip ya mchango wake bank kwa Simba kuhalalisha hoja yake.
Simba ni mbovu! Kama wachezaji hawajitumi basi uongozi una shida! Na kama kuna fitna za upande wa pili wa utopolo basi uongozi wa Simba ni mbovu hauna uwezo wa kupambana na fitna za soka la Tanzania!Simba sio mbovu ila ina wachezaji wasio na kiu ya kushinda NBC. Wachezaji ni wazuri ila hawana njaa, wanacheza ilimradi tu pesa iingie mifukoni mwao. Pamoja na fitina za upande wa pili (kurwa), wachezaji wetu hawana morale kabisa.
Nani anaongoza ligi kwasasa??Utopolo ina nini cha ziada? Labda majini
Akikujibu nitagNani anaongoza ligi kwasasa??
Achana na Timu yetu.Simba ni mbovu! Kama wachezaji hawajitumi basi uongozi una shida! Na kama kuna fitna za upande wa pili wa utopolo basi uongozi wa Simba ni mbovu hauna uwezo wa kupambana na fitna za soka la Tanzania!
Simba ya Dalali, Simba ya Rage! Simba ya Kaburu! Simba ya malkia wa nyuki zote hizo zilikuwa Simba za misukosuko ila hazijawahi kufungwa tano na utopolo! Bali Simba ndio ilikuwa inapambana haswa!
Hakuna Simba iliyokuwa mbovu kama ya 2013! Ilikuwa ya vijana wa waliotoka Simba b! Ilikutana na yanya iliyokuwa vizuri kila idara ikiwa chini ya bilionea Manji,ila mechi ya tarehe 20 Oct 2013 Simba ilipata sare ya tatu tatu na yanga tena Simba ikitoka nyuma na kusawazisha goli zote mpaka yanga wakiomba mpira uishe!
Eti Simba inakuja kufungwa tano na yanga halafu linakuja shabiki la mchongo linasema Simba sio mbovu!
Timu inacheza na kupata ushindi wa kubahatisha halafu mtu anasema Simba sio mbovu!
Kabisa Dr. Mambo JamboHili Litapunguza kelele maana watu tunaolipia Tumekaa Kimya
Umekiona nilichokitabiri[emoji777]