FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

Utopolo mjifunze...
Tabia ya Timu Kubwa..

Kurudi Kwenye pace baada ya kupoteza
20240306_191842.jpg
20240302_230338.jpg

Sawa
 
Simba sio mbovu ila ina wachezaji wasio na kiu ya kushinda NBC. Wachezaji ni wazuri ila hawana njaa, wanacheza ilimradi tu pesa iingie mifukoni mwao. Pamoja na fitina za upande wa pili (kurwa), wachezaji wetu hawana morale kabisa.
Simba ni mbovu! Kama wachezaji hawajitumi basi uongozi una shida! Na kama kuna fitna za upande wa pili wa utopolo basi uongozi wa Simba ni mbovu hauna uwezo wa kupambana na fitna za soka la Tanzania!

Simba ya Dalali, Simba ya Rage! Simba ya Kaburu! Simba ya malkia wa nyuki zote hizo zilikuwa Simba za misukosuko ila hazijawahi kufungwa tano na utopolo! Bali Simba ndio ilikuwa inapambana haswa!

Hakuna Simba iliyokuwa mbovu kama ya 2013! Ilikuwa ya vijana wa waliotoka Simba b! Ilikutana na yanya iliyokuwa vizuri kila idara ikiwa chini ya bilionea Manji,ila mechi ya tarehe 20 Oct 2013 Simba ilipata sare ya tatu tatu na yanga tena Simba ikitoka nyuma na kusawazisha goli zote mpaka yanga wakiomba mpira uishe!

Eti Simba inakuja kufungwa tano na yanga halafu linakuja shabiki la mchongo linasema Simba sio mbovu!
Timu inacheza na kupata ushindi wa kubahatisha halafu mtu anasema Simba sio mbovu!
 
Achana na Timu yetu.
 
Back
Top Bottom