FT' Congo Brazzaville 1-1 Tanzania inaisaka nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2026, Septemba 5, 2025| Saa 1:00 Usiku| Alphonse Massemba

Mi naona pamoja na hayo wachezaji hawajitoi
Bongo inatakiwa timu ya Taifa ijitegemee la sivyo hata zije mbinu hamna kitu.. mtu anacheza akiiwazia Yanga Day/Simba Day /tarehe 16 anacheza kama ana mavi
Hahaha
 
Na pia Taifa Stars haimuhitaji tena M.Samatta
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mi naona pamoja na hayo wachezaji hawajitoi
Bongo inatakiwa timu ya Taifa ijitegemee la sivyo hata zije mbinu hamna kitu.. mtu anacheza akiiwazia Yanga Day/Simba Day /tarehe 16 anacheza kama ana mavi
Jamani hamkuona hizo kelele za washabiki wa Congo,WaTZ hatukuwepo huko kuwatia moyo.Sare ni ushindi pia.
 
Nilivyoona tu kikosi nikaghairi kununua kifurushi. Nilijua tu hatutoboi.

Hivi mpaka nini kitokee ndiyo tutavumbua wachezaji wapya? Hao kina Msuva, Samatta, Kapombe, Zimbwe wamefanya wanachoweza, tuibue wengine, inatosha.

Ni kama tunaona aibu kutoita wachezaji fulani wakati tayari tumewafungulia dunia, hatudaiani. Kutowaita timu ya taifa haimaanishi watakufa njaa. Leta wengine, wafungulie na wenyewe dunia maisha yaendelee.

Kuna wachezaji wengi wapo timu ndogo ambao wangeweza kutufanyia makubwa ila hatuwapi hata nafasi.

Tunajichelewesha saaana.
 
Kuna haja ya kuwapika wachezaji kutoka hizi timu zinazoonekana ndogo kina Singida BS kushuka chini na wawe na uzalendo...tuachane na majina makubwa yasiyo na tijaa🤣
Kabisa. Maana wakishakuwa mastar sijui wanaogopo kuumia.
 
Mi naona pamoja na hayo wachezaji hawajitoi
Bongo inatakiwa timu ya Taifa ijitegemee la sivyo hata zije mbinu hamna kitu.. mtu anacheza akiiwazia Yanga Day/Simba Day /tarehe 16 anacheza kama ana mavi
Timu ya taifa ijitegemee kivipi
 
Back
Top Bottom