Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ya TanzaniaEbu masaa ya wapi?
Al Ahly ashinde ila wale jamaa wakiwa kwao huwa Wana moto sana so naiona draw au lose kwa Ahly
Maana nao mbinu zao zimekuwa wazi sana now days imagine wali draw na team ya Simba tena two games
Afe nani sasa?Mechi ni saa 4 usiku mungu ibariki Ahly ungana nami kwa update za mechi hii
YallaYaAhly
View attachment 2905450
BelouizdadAfe nani sasa?
Mwisho wa kukaa nafasi za watu kwa yanga umefika teyari..Mechi ni saa 4 usiku mungu ibariki Ahly ungana nami kwa update za mechi hii
YallaYaAhly
View attachment 2905450
sisi wapenzi wa mamelod tunapenda Ahly abondwe na itakuwa furaha kwetuMechi ni saa 4 usiku mungu ibariki Ahly ungana nami kwa update za mechi hii
YallaYaAhly
View attachment 2905450
Walinusurika sanaIla walifungwa na Yanga?
Niwewe tu kuendelea kuwa mwasibuMatokeo yaweje ili Yanga asipite kwenda Robo? Nijuze
1-5Matokeo yaweje ili Yanga asipite kwenda Robo? Nijuze