Umesoma comment yake ili ubishane au ulisoma ili uelewe alichoandika? Embu soma alichoandika halafu angalia upuuzi wako uliyoujibuWakifungana points na Cr Belouzidad kigezo kitachotumika kupitisha timu ni H2H baina ya hizo timu mbili zilivyokutana.
Alikuelimisha mwana Uto mwenzako lakini bado huelewi
Kweli jambo dogo kama hili nalo la kuhitaji tuition?
Tatizo hua huna akili ila hauji kama huna, Yanga hahitaji kushinda goli 3 kwa CRB cha msingi ashinde hata goli moja game ya mwisho akakomae na sare away unataka kuleta ligi uonekane umoWakifungana points na Cr Belouzidad kigezo kitachotumika kupitisha timu ni H2H baina ya hizo timu mbili zilivyokutana.
Alikuelimisha mwana Uto mwenzako lakini bado huelewi
Kweli jambo dogo kama hili nalo la kuhitaji tuition?
Huyo jamaa hua ana utindio wa ubongo mzoee tuUmesoma comment yake ili ubishane au ulisoma ili uelewe alichoandika? Embu soma alichoandika halafu angalia upuuzi wako uliyoujibu
Nimesoma vizuri ila sijui labda kama wewe na yeye mmenisoma vizuri.Umesoma comment yake ili ubishane au ulisoma ili uelewe alichoandika? Embu soma alichoandika halafu angalia upuuzi wako uliyoujibu
Nyie mnaijua kuliko ASEC? kweli mental health is realAsec mimi simhofii hata kidogo
Hii michuano sisi ndio tunajua tunaicheza vipi.
Atapigwa kipigo mtabadili maneno mseme kwasababu walikuwa wanauhakika wamepita
Sare away dhidi ya timu gani?Tatizo hua huna akili ila hauji kama huna, Yanga hahitaji kushinda goli 3 kwa CRB cha msingi ashinde hata goli moja game ya mwisho akakomae na sare away unataka kuleta ligi uonekane umo
hahahahahahaYanga atafuzu hapo
Sijui ni timu gani wewe unae jua niambieSare away dhidi ya timu gani?
Simba ni ya 7 kwa ubora AfricaNyie mnaijua kuliko ASEC? kweli mental health is real
Naona mmeniundia bunge sasaHuyo jamaa hua ana utindio wa ubongo mzoee tu
TutamuonaSijui ni timu gani wewe unae jua niambie
Kwamba Al Ahly hua hatoi sale kwake au what so special?Tutamuona
Kuna sehemu una hitirafu kichwani! sio bureSimba ni ya 7 kwa ubora Africa
Asec wangapi?
Huyo si mwenzenu kabisa
Na timu ndogo haiwezekaniKwamba Al Ahly hua hatoi sale kwake au what so special?
Ni "hitilafu" sio "hitirafu"Kuna sehemu una hitirafu kichwani! sio bure
SawaYap ila kwenye mtihani wa mazuzu
Seek medical advice kuna tatizo la umeme kichwani kwakoNi "hitilafu" sio "hitirafu"
Nakumbuka uliwahi kuniambia kiswahili sio lugha yako ya kwanza.
Una amini kwenye miujiza?Na timu ndogo haiwezekani
Labda itokee miujiza.
Na hilo labda lichangiwe na vile vitu ambavyo vina trend kuihusu Yanga.
Sometimes uwe unatoa appreciation unapo sahihishwaSeek medical advice kuna tatizo la umeme kichwani kwako
Yeah bahati zipoUna amini kwenye miujiza?