Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Halafu hasira wamalizie kwa vibonde Uto week ijayo..Belouizdad
Mtu amekupiga 5 na majini kakutupia bado unamuita kibondeHalafu hasira wamalizie kwa vibonde Uto week ijayo..
5 za viashiria vya Mataulo.Mtu amekupiga 5 na majini kakutupia bado unamuita kibonde
Lakini si ulifurahi sana5 za viashiria vya Mataulo.
Why Belouzdad?Belouizdad
Naona bado wanatafakari logo ya Aga Khan waanze kuichomeka lini maana rangi nyekundu wanavyoiogopaHili kundi watapita waarabu tupu, maana Agakhan FC malengo yalishatimia kwa msimu ya kuingia makundi
nimetoka kushuhudia vitu vya ajabuKwa wale wanaopenda kuangalia kwa live streaming nawapa hii link ni [emoji95][emoji95] ... 808bola andika kama ilivyo google ingia mwenyewe ujionee mechi zote duniani live
MAJINI yameshatumwa huko kuwasaidia Aly Ahly .Kuna timu ipo nafasi ya pili kwasababu wenzake hawajacheza
DahπππππNiwewe tu kuendelea kuwa mwasibu
Hahahaaa! Majini fc washaanza dua zaoMechi ni saa 4 usiku mungu ibariki Ahly ungana nami kwa update za mechi hii
YallaYaAhly
View attachment 2905450
Kwa hiyo hadi mechi za kule kambi ya jeshi uwanja wa Meja Generali Isamuhyo zinaonyeshwa humo?Kwa wale wanaopenda kuangalia kwa live streaming nawapa hii link ni [emoji95][emoji95] ... 808bola andika kama ilivyo google ingia mwenyewe ujionee mechi zote duniani live