FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Mpira ni kanuni na mfumo ndio kanuni yenyewe

Unawacheka Cr Belouzidad kwa kuanza na beki wa 4 wakato hata nyie mmeanza na beki wa nne

Na tena kwa uoga zaidi eneo la defence midfielders mmeweka watu wanne
Wewe si umesema hawajaaanza unapinga hoja yako
 
Back
Top Bottom